Mkutano wa hadhara Songea trh 10.04.2015

Mkutano wa hadhara Songea trh 10.04.2015

Hahahahahaaaa naona wasaliti wanatapayapa! waneona kama wangeandika hapo juu kwenye heading mkutano was act basi Uzi ungebuma, hata Mimi nisingehangaika nao!
 
Chama cha wazalendo au wasaka tonge? chama kianzishwe kwa ufadhili wa mafisadi kiwe cha kizalendo kweli? mnachekesha sana
 
Asseeehhhh afande sele mzungumzaji nae tena kati ya wazungumzaji wakuu, so ACT itamsimamisha kama mgombea Moro mjini.....kaaazi kweli kweli
afande.jpg
 
kwa Songea Mjini kazi kubwa inahitajika hasa ikizingatiwa kuwa ni sehemu pekee ambayo CHADEMA imejikita mizizi yake kwa ngazi ya Udiwani na Serikali za Mitaa,
 
Chama cha wazalendo au wasaka tonge? chama kianzishwe kwa ufadhili wa mafisadi kiwe cha kizalendo kweli? mnachekesha sana

hamna jipya ACT inawaumiza kichwa usipime.. huo mwanzo tu.. na sio lazma muelewe leo lakin muda ukifika mtaelewa tu....
CCM HAO MAGOGONI, CHADEMA NA UKAWA HAOOOO WANAKOENDA SIJUI..
 
Back
Top Bottom