Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

Vijana wote wa CCM wako kazini kutetea Tawi lao la ACT.

Molemo accept the facts, we said mlituona wajinga......think tankers wa chadema mpaka ilipofika pale ni aina zito na prof Mkumbo. unless wewe sio frontier ndani ya chadema

Dealing with those people haikutakiwa wapayukaji kama akina Tundu Lissu, Godbless Lema na aina msigwa!! eti na za sugu!!

utaeneza chuki sana, utatumia nguvu nyingi, utatukana na kusonya, utauma meno....ila si kila unayemchukia wewe lazima achukiwe na wengine ndio siri na utashi ambao Mungu ametupa

Mbowe alitumia gharama kubwa mpaka kutunga hekaya za ajabu........ili zittto achukiwe ...lakini yako wapi?

wewe Molemo utaaandika sana habari za chuki; ila muda utakuonea aibu na kukutupa, uakimbia jukwaa

ukichukua siasa ni kama football game na timu yako imshindwa the best way ni kuangalia mmekosea wapi

Zitto kazaliwa 76 tu , ni mdogo mno na ana miaka mingi ya kuishi.....atasumbua tu, hata kama mtatumia gharama zote kumzimisha, ila ataamka tu

WIMBO WA MSALITI haulipi tena

Ninatamani sana, mbowe aseme....'zitto alienda kutoa siri hii na hii na hii kwa serikali, na CDM ikaathirika hivi na hivin na hivi'' hili hamuwezi kulisema wala kupima...............hatimaye kiasili wimbo wa usaliti unaanza kuchuja

November ACT itakuwa na wabunge wengi ( andika mahali) tena wengi kuliko chadema, kuliko nccr, kuliko cuf, etc.,ACT kitakuwa chama kikuu ch upinzani; chadema by then kitakufa tu...'maana hamna namna nyingine ya kukiokoa' kitakufa tu!

kwa nn? hamna mawazo mapya, hamna uongozi mpya, ni watu walewale, mawazo yale yale, wanafanya vile vile na kutegemea results tofauti???

Hivi kwa nini hata mara moja tukawa wakweli wa nafsi zetu kuwa Zitto alizushiwa yale kwa sababu ya mauongozi ndani ya chadema?

Hivi Lissu anajenga chama kweli??

Wimbo eti ni tawi la CCM....ni wa kujifariji tu..utachuja nao, andaa Lyrics za wimbo mwingine; utakosa utakaa kimya
 
Teh teh teh

Msalimie mumeo mtei.

Mwambie aendelee na biashara yake ya usafirishaji tuh.

Siasa zege lishaingia maji sasa.

Vimada wake kama wwe mtakufa njaa mwaka huu.

Ikwenye listi ya mahawara wa zitto wewe umefanywa tambara maake unababwaja kama mutu mwenye msongo mgawo anakunima msaliti
 
Teh teh teh

Mangi kakasirika kuskia chadema na m4c imekufa teh teh

Tafuteni biashara nyingine huko kwenu kilimanjaro.

Siasa na wachga wapi na wapi??

Shenzy type.

Endeleeni tu kuota ndoto zenu za mchana, tulianza kuwabeep serkali za mitaa na sasa tunaenda kuwapigia October, pumbavu lazima msande
 
Chama cha Act kilikuwa na mkutano, lakin kwa bahati mbaya au kwa kuzamilia mmetuwekea picha tano, ya kwanza mpaka ya tatu sio za leo, ya nne na ya tano ndo za leo hiv kama kweli mnataka kuingia kwenye siasa na sisi tuwa support ya nini kuweka picha za zamani mkachanganya na za leo.

Jaman wana jf wenzangu angalieni picha ya kwanza mpaka ya tatu kisha muangalie ya nne mpaka ya tano kama zinafanana.

My take fanyeni siasa za ushindani sio ushindani wa mitandaoni.
 
Molemo accept the facts, we said mlituona wajinga......think tankers wa chadema mpaka ilipofika pale ni aina zito na prof Mkumbo. unless wewe sio frontier ndani ya chadema

Dealing with those people haikutakiwa wapayukaji kama akina Tundu Lissu, Godbless Lema na aina msigwa!! eti na za sugu!!

utaeneza chuki sana, utatumia nguvu nyingi, utatukana na kusonya, utauma meno....ila si kila unayemchukia wewe lazima achukiwe na wengine ndio siri na utashi ambao Mungu ametupa

Mbowe alitumia gharama kubwa mpaka kutunga hekaya za ajabu........ili zittto achukiwe ...lakini yako wapi?

wewe Molemo utaaandika sana habari za chuki; ila muda utakuonea aibu na kukutupa, uakimbia jukwaa

ukichukua siasa ni kama football game na timu yako imshindwa the best way ni kuangalia mmekosea wapi

Zitto kazaliwa 76 tu , ni mdogo mno na ana miaka mingi ya kuishi.....atasumbua tu, hata kama mtatumia gharama zote kumzimisha, ila ataamka tu

WIMBO WA MSALITI haulipi tena

Ninatamani sana, mbowe aseme....'zitto alienda kutoa siri hii na hii na hii kwa serikali, na CDM ikaathirika hivi na hivin na hivi'' hili hamuwezi kulisema wala kupima...............hatimaye kiasili wimbo wa usaliti unaanza kuchuja

November ACT itakuwa na wabunge wengi ( andika mahali) tena wengi kuliko chadema, kuliko nccr, kuliko cuf, etc.,ACT kitakuwa chama kikuu ch upinzani; chadema by then kitakufa tu...'maana hamna namna nyingine ya kukiokoa' kitakufa tu!

kwa nn? hamna mawazo mapya, hamna uongozi mpya, ni watu walewale, mawazo yale yale, wanafanya vile vile na kutegemea results tofauti???

Hivi kwa nini hata mara moja tukawa wakweli wa nafsi zetu kuwa Zitto alizushiwa yale kwa sababu ya mauongozi ndani ya chadema?

Hivi Lissu anajenga chama kweli??

Wimbo eti ni tawi la CCM....ni wa kujifariji tu..utachuja nao, andaa Lyrics za wimbo mwingine; utakosa utakaa kimya

Wewe mzee ni wa kupuuzwa tu, tangu nimejiunga na JF sikuwahi kuona hata siku moja unajimu wako ukitimia, daima umekuwa ukijenga hoja kwa mizania ya staki nataka yani mguu ndani mguu nje, mlisema Zitto ni zaidi ya chama sasa hivi huyo nje, chama bado kipo na kinazidi kuchanja mbuga wanafiki mtaendelea kuumbuka mmoja mmoja mpaka tunamaliza uchaguzi October wote mtasambaa humu jukwaani.
 
Chama cha Act kilikuwa na mkutano, lakin kwa bahati mbaya au kwa kuzamilia mmetuwekea picha tano, ya kwanza mpaka ya tatu sio za leo, ya nne na ya tano ndo za leo hiv kama kweli mnataka kuingia kwenye siasa na sisi tuwa support ya nini kuweka picha za zamani mkachanganya na za leo.

Jaman wana jf wenzangu angalieni picha ya kwanza mpaka ya tatu kisha muangalie ya nne mpaka ya tano kama zinafanana.

My take fanyeni siasa za ushindani sio ushindani wa mitandaoni.

ndugu yangu mimi nilikuwepo leo hapa songea nipe namba yako nikutumie whatsap picha hapa nashindwa kuziweka.watu ni nyomi sana jamaa anateketeza msitu mdogomdogo mwenyewe zito hajaamini watu walivyo jaa
 
Teh teh teh

Bora nchi hii ibakie kuongoza ccm kuliko kuwapa wakatoliki nyinyi wa chadema.

Teh teh teh

Hata ukitukana haisaidii.

Tukana hadi upasuke.

Nchi hii haiwez kuongozwa na mapadre kama mchovu slaa hilo sahau.

Mtaongozwa mara ngapi kwani na mapadre hujui kuwa katoliki ndio imeratibu hata uongozi uliopo madrakani sasa Kuanzia Rais mawaziri hadi BAKWATA.

CCM OYEEE
 
Teh teh teh

Bora nchi hii ibakie kuongoza ccm kuliko kuwapa wakatoliki nyinyi wa chadema.

Teh teh teh

Hata ukitukana haisaidii.

Tukana hadi upasuke.

Nchi hii haiwez kuongozwa na mapadre kama mchovu slaa hilo sahau.

Mapadre hawakwepeki kuna jamaa yangu pale Maka Saudia karne ya saba alitabiriwa kuja kuwa mtume na padre, na leo wewe ni mfuasi wa huyo mtume wa padre.
 
Molemo accept the facts, we said mlituona wajinga......think tankers wa chadema mpaka ilipofika pale ni aina zito na prof Mkumbo. unless wewe sio frontier ndani ya chadema

Dealing with those people haikutakiwa wapayukaji kama akina Tundu Lissu, Godbless Lema na aina msigwa!! eti na za sugu!!

utaeneza chuki sana, utatumia nguvu nyingi, utatukana na kusonya, utauma meno....ila si kila unayemchukia wewe lazima achukiwe na wengine ndio siri na utashi ambao Mungu ametupa

Mbowe alitumia gharama kubwa mpaka kutunga hekaya za ajabu........ili zittto achukiwe ...lakini yako wapi?

wewe Molemo utaaandika sana habari za chuki; ila muda utakuonea aibu na kukutupa, uakimbia jukwaa

ukichukua siasa ni kama football game na timu yako imshindwa the best way ni kuangalia mmekosea wapi

Zitto kazaliwa 76 tu , ni mdogo mno na ana miaka mingi ya kuishi.....atasumbua tu, hata kama mtatumia gharama zote kumzimisha, ila ataamka tu

WIMBO WA MSALITI haulipi tena

Ninatamani sana, mbowe aseme....'zitto alienda kutoa siri hii na hii na hii kwa serikali, na CDM ikaathirika hivi na hivin na hivi'' hili hamuwezi kulisema wala kupima...............hatimaye kiasili wimbo wa usaliti unaanza kuchuja

November ACT itakuwa na wabunge wengi ( andika mahali) tena wengi kuliko chadema, kuliko nccr, kuliko cuf, etc.,ACT kitakuwa chama kikuu ch upinzani; chadema by then kitakufa tu...'maana hamna namna nyingine ya kukiokoa' kitakufa tu!

kwa nn? hamna mawazo mapya, hamna uongozi mpya, ni watu walewale, mawazo yale yale, wanafanya vile vile na kutegemea results tofauti???

Hivi kwa nini hata mara moja tukawa wakweli wa nafsi zetu kuwa Zitto alizushiwa yale kwa sababu ya mauongozi ndani ya chadema?

Hivi Lissu anajenga chama kweli??

Wimbo eti ni tawi la CCM....ni wa kujifariji tu..utachuja nao, andaa Lyrics za wimbo mwingine; utakosa utakaa kimya

Well said Comrade, endelea kuwapa shule hawa mpaka wafunguke. Najua siyo kazi rahisi kumuelimisha mtu mwerevu aliyeamua kuchagua ujinga, lakini kutokana na kwamba kazi ya kujenga ushawishi kwa umma inapaswa ifanywe kwa uvumilivu basi Subira yatakiwa pindi mtu unapodeal na watu wa aina hiyo.

Cha kuchekesha ni kwamba hawa watu wapo katika denial. Hawajui wanahitaji nini ndani ya kiongozi. They fear to lose an establishment which they have hinged their dreams and aspirations only to be dissapointed at the end.

So matokeo yake, they are bitter, hateful. Theirs is just some psychological problems

The cure for them is, let them hate, spit venom until they are sterilized, then they'll go into a denial phase, and later they will accept the situation.
 
Back
Top Bottom