Recent content by Sukula

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nalia kama sio kutoa machozi, wanaume mkoje?

    kama ulimpata humu basi jiandae kulia sana, humu hakuna wanaume walio na mapenzi ya dhati.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa gari ambalo Lissu alilitaja kwa kutumia plate number zake amewahi kulalamika?

    huo ndio ukweli wenyewe, hawana cha kukwepa.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Acacia yatangaza kupunguza uzalishaji mgodi wa Bulyanhulu kutokana na zuio la makinikia. Yaunga mkono mazungumzo

    kwhy kuna watu wanaelekea kukosa kazi??? dah hatari sana.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    poa kiongozi.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    Bado mkuu,ila najipanga. Hv karibuni ntakuwa na safari ya dar,nikifika nitajitahidi nifike dukani kwako.
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitaacha kutembea na wanafunzi wa Sekondari

    halafu na ww unajiita mwanaume, mwanaume wa kweli hahongi elfu 5 wala hatoi sababu za kipuuzi kwenye suala la uhongaji. Ungesema hv uwezo wangu wa kuhonga ni mdogo, sina uwezo wa kuwahimili wadada wanaojitambua ndio maana nakimbilia kwa watoto wa shule, maana kwa mdada anaejitambua hiyo elfu 5...
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke penda maisha yako kwanza

    khaaaa..........
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuanza maisha upya baada ya kukosea kuoa

    khaaa, hata wewe kumbe huenda tumetoka sehem moja. Shy sehem gani ndg yangu.
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi bora kwa mwanume kuota matiti au kuwa na kitambi?

    bora mwanaume awe na kitambi ntamvumilia,lkn matiti hapana kwakweli:(
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada zangu kwa style hii... Kifo kipo karibu sana kwetu sote

    ni utoto unamsumbua , akikua ataacha. Pale atakapojikuta anahitaji kuolewa halafu hapati wa kumuoa kutokana na historia ya matendo yake na tabia zake ndipo atakapotamani dunia irudi nyuma ili arekebishe yote hayo. Dunia ni tambala mbovu.
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume hasifiwi kuwa na wanawake wengi

    yaan tena yanaboa kichizi, unakuta limtu limepanga foleni na wakati an lenyewe choka mbaya tu hata halina uwezo wa kuhudumia. Mwanaume anasifiwa namna anavyojali sio foleni ya wanawake, km ni foleni hata mbwa anayo. Badilikeni buana.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nazeeka, naogopa!

    uzee mbaya kama hauna hela ila ujiwa na hela ni burudani tu. Hata watoto wakali utabeba bila shida.
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni jinsia ipi hawana uvumilivu kwenye mahusiano?

    mi naona wanaume uvumilivu ni zero, angalau wanawake huwa tuna uvumilivu mkubwa. Hata siku ukisikia mwanamke anasema kachoka basi ujue kachoka kweli.
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti yamemharibikia

    Duh....pole yake kwa kweli. Tatizo la utoto alijua zipo tu kila siku. Acha ale jeuri yake.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Papa Francis amuunga mkono Mpinga Kristo

    mmmh mi najua kila mtu na imani yake. Mkiaza kugusa masuala ya kiimani hapa mtaishia kugombana bure.
Back
Top Bottom