Binti yamemharibikia

Binti yamemharibikia

Mwanamke na pesa ni sawa na kufanya mizunguko yako Dar kati ya saa 10 na saa moja jioni. Ukiwa kwa gari noma, ukiwa kwa miguu ndiyo noma kabisaaa!
mwanamke ukimpa pesa ni shida na usipompa ndiyo shida kabisaa!
 
Duh....pole yake kwa kweli. Tatizo la utoto alijua zipo tu kila siku. Acha ale jeuri yake.
 
mkuu kipaji cha kutunga stori huna,, tafuta kitu kingne ufanye
 
Sky Eclat, yaani hata yule jamaa anaewaandaa kwenye zile pwani takatifu hakumwona kweli huyo binti?

Nawasifu sana wale mabinti wachache ambao waliamua "between" kuwa wajasirimali, waliona mbali sana.

😀
 
Sky Eclat, yaani hata yule jamaa anaewaandaa kwenye zile pwani takatifu hakumwona kweli huyo binti?

Nawasifu sana wale mabinti wachache ambao waliamua "between" kuwa wajasirimali, waliona mbali sana.

😀
Na wenye akili zaidi wamejiingiza kwenye mifuko ya jamii, sura zao bado zinaonekana kwa heshima.
 
Na wenye akili zaidi wamejiingiza kwenye mifuko ya jamii, sura zao bado zinaonekana kwa heshima.
Ninafkikira binti angepata ushauri wa kuwa balozi wa let say watoto yatima, wenye ulemavu au magonjwa sugu na kufanya fund rising dinners, angeweza kupata air time kwenye media na pia uwezekana wa kukutana na kigogo mwingine.
 
kuna yule dada anawaza kupata mabwana wenye hela kumbe hata godoro hana ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom