hata hiyo mijitu iliyoenda kuwakilisha makundi ina njaa sana! I wonder kwamba laki 3 per day, still wana price tag!! Hii nchi ina tatizo kubwa si kwa viongozi pekee bali hata kwa wananchi wenyewe. Usishangae wakati wa kupiga kura ya kuipitisha watanzania wakapewa hongo za vyakula na kapero...
unaijua rombo sauce? inatengenezwa kwa kisusio kidogo, pilipili kidogo na limao! ni balaa! ukichovya nyama pale iwe ya kichoma au ya kuchemsha hutoacha mmeku! alafu kwafumao kwara kangaru ka wari wa umbeke mmeku! doh
*m* oyeeeeeeeeeeee....................
mh spika nashukuru kwa kunipa nafasi ya kuchangia mjadala huu! kwanza kabisa nawapa pole wenzetu wa Africa kusini kwa kumpoteza shujaha wao na shujaha wa Afrika kwa ujumla! sirikali yetu tukufu iliwakilishwa na mh rais wa JMT! alitoa hotuba nzuri sana...
we kikoj()zi umeufanya huu uzi ni wa kutolea hasira zako kwa wachagga! Hata ufanyeje huezi kuwa mchagga miaka 10000000000000000, sanasana utabwabwaja tu! punguza wivu wa kijinga!
hivi mchagga hana haki ya kuongea kitu kwenye hii nchi? mods bado wanawaacha mnachangia mada tu, i wonder why msipewe ban! siku matunda ya ukabila yatakapoiva tutayala wote! naona mchagga anabaguliwa kwa manufaa ya siasa za maji taka! ole wenu wa panzi wa tunda hili!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.