Jamani hivi kwa nini baadhi ya wanyama hawamuogopi mwanamke??

Nackiaga Tu Ila Cnaiman Juu Yahilo Mamaangu Aliniambia Hakuweza Kusoma Kwakua Alikua Akilinda Nyan Wacle Maindi Shamban Kwaiyo Ciamini Kama Nyan Hamwogopi Mwanamke

Muulize alikuwa anavaa nguo gani wakati akilinda!mi nimeona wanawake wakivaa suruali,koti(kuficha matiti)na kofia ndio nyani wanamuogopa,vinginevyo huwa manyani dume yanaingia kula tu mahindi huku yakimuonyeshea sehemu zao za uume!Hata mie nilishangaa sana kuona hivyo!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
hahaahaaaa! Hyo ya kuonyesha uume imeniacha hoi.....!
 
Mie home ngedere wanakujaga nikiwafukuza ndo kwanza wananyoosha tubolo twao twa blue.
 
Mie home ngedere wanakujaga nikiwafukuza ndo kwanza wananyoosha tubolo twao twa blue.

kwa ulichoandika hapo, lazima waje...! Jiheshimu kwanza lazma wakuheshimu haya mambo ya f**kbook usitultee humu ndani....
 
Kwa hiyo kwa ufupi wewe ni bidhaa na unalipiwa kodi?

Btw hapa najaribu kutafuta msamiati wa mwanamke avutiwaye na pesa ya mwanaume...

Swala la kusema wanaangalia wallet tayari amedhibitisha yeye kiumbe dhaifu,hawez bila mwanamme,wote ni udhaifu
 
Swala la kusema wanaangalia wallet tayari amedhibitisha yeye kiumbe dhaifu,hawez bila mwanamme,wote ni udhaifu

Mwanamke si kiumbe dhaifu, wewe unaetoa hiyo pesa ndio dhaifu... dhaifu kwa wanawake... hasa kama unatoa kabla ya ndoa.
 
Back
Top Bottom