Top beauty girl in mum jf!

Top beauty girl in mum jf!

Mambo vipi?Wanajamvi eeh!Hv msichana ama binti mzuri kupita wote humu Jukwaani ninan?
Tupia jina lake na uzur wake!
Kwangu mimi ni Heaven on Earth uzuri wake:-anaongoza kwa kukomenti post zangu na wewe je?

mkuu umeingia chaka, kifupi ni kuwa umechemsha kuanzisha huu uzi!
 
Kumbe tuko wengi ambao hatujaelewa. Kumbe kuna wadada uzuri wao unakuja coz wanacomment sana eeh!
Two things mixed up,dada
mzuri na dada anayeongoza ku comment which is which?for clarification
purpose
 
Duh nikawa sina uhakika km nimeingia MMU au kule SIASA-NI haahaa naona leo uku km kuna kukunja sura....sio mtabiri ila huu mwendo kuna BAN pale kwny kona.
 
Still fake

Hivi hujui kuwa maisha ya MMU ni ya kuigiza?
Unataka tutoe maamuzi kwa muktadha wa maigizo?

Halafu unasemaje uzuri bila kusema ni uzuri gani?
Na kama ni uzuri huo unaodai kusema hapo mbina umetaja wasichana tu

Wanawake je?
Wanaume je?

Halafu unajuaje kuwa fulani ni mwanamke au msichana?

BRAINS beiiiibi !thiiiiiis brains!
wewe ndo hendisamu wangu humu!
 
Faru dume, Kwa Hiyo anaeongoza ku coment post zako ndio mzuri Kwako ???????
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi utumbo wa paka na utumbo wa kuku unapikwa chungu kimoja,,,,,,MMU siyo kabisa siku hizi😡😡 sasa hiki ni nini? Ngoja nikapumzishe mbavu zangu mie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom