Recent content by Sugusugule

  1. S

    Uchaguzi huu October 2015, Ni Mahakama ya Kadhi V/S CCM. (Tutaona nani Mshindi).

    Unaelewa ulichokiandika? acha kudumaza akili yako kwa kigezo cha mnyaazi Mungu. Think big utaelewa tu kuwa mheshimiwa raisi yoko sahihi 100%. acha kuwa mtaalamu wa kulalamika na kupotasha wengine wenye uelewa mdogo kama wako maana watakufuata wasifike cos ya akili mgando.
  2. S

    Serikali ichukue hatua hizi ili kulinusulu Taifa na machafuko ya kidini

    Hivi Unatumia ubongo wa binadam kufikiri?!!!!!!!
  3. S

    Before you marry

    Wanasaikolojia tuambieni uhusiano wa haya yanenwayo hapa na tabia halisi katika maisha ya kawaida :help:
  4. S

    Natafuta Mwanaume mwenye VVU

    Una moyo mkubwa hivo! umeshampata bila kwere.
  5. S

    Hii inawahusu wanaume wanolialia kupigwa mizinga

    umemuokota huyo buruza kabisa kama yeye hakuna jua nyie
  6. S

    BAKWATA na muundo wa Katiba

    Hata mimi nashangaa sana hapo! Nadhani kuna agenda ya siri hapo, waweke wazi tuwasikie
  7. S

    Hivi Kinana ni lini alikana uraia wa Somalia?

    Nndio maana naifagilia ccm,ni wakweli na hawana unafiki
  8. S

    Hii ndio Nyumba Mpya ya Kisasa ya Mbunge wa Chadema Mwenye Makelele Mengi Sana!!

    tuseme kwa akili yako huyo ndio fisadi uliyemuona nchi hii? au ndio zenu kutopotosha?
  9. S

    J.K. Awaasa Muslim University Morogoro

    Uungwana ni kukubaliana na ukweli japo unauma. Dini sio kila kutu hapa dunian, fanya na mengine ili uishi
  10. S

    J.K. Awaasa Muslim University Morogoro

    Nadhani hilo ni jibu pigia mstari kabisa
  11. S

    Watanzania- hii habari ni ya kweli ama imechakachuliwa?

    wanakumbuka shuka kumekucha?! walikuwa wapi madini yote yamekwibwa? walikuwa hawajui kuwa tuna watalaamu wazelendo na wazawa wanaoweza kuitendea haki nchi yao?
  12. S

    Kauli hizi za Zitto zinatupa picha gani?

    Naomba source ya income ya ZZK, maana hata viposho pale mjengoni huwa hachukui! anapata wapi hivo vijisenti? au anahongwa na mafisadi ambao baadae wanakuja kutuharibia nchi.
  13. S

    bora kupendwa kuliko kupenda!

    wanaume tunaafadhali ila mademu ndio wazinguaji hasa wakigundua kuwa wanapendwa
  14. S

    Baadhi ya wabunge wa CCM na Upinzani wadaiwa kuhongwa na menejimenti ya TANESCO

    Zito kama mambo haya siyo si ukanushe kwa kueleza ukweli? kama ni ukweli laana ya watanzania itakuandama kwani umeme unamchango mkubwa sana kwenye mfumuko wa bei nchini kumbe ilikuwa mbinu yenu chafu!!!!! jamani zito!!
  15. S

    Prof. Muhongo ammaliza rasmi Mhando; Mama Rwakatare naye alipuliwa!

    mama mchungaji rwakatare kama hili ni kweli nakushauri ufanye sala ya wazi ya toba kwa watanzania ili japo urudishe imani kwa waumini wako.
Back
Top Bottom