Sugusugule
Member
- Jun 19, 2012
- 16
- 4
Wanasaikolojia tuambieni uhusiano wa haya yanenwayo hapa na tabia halisi katika maisha ya kawaida :help:
Na akishagegeda ndo atawaza
He he he we utakuwa wale warembo wanaokula soseji mbili halafu wanashiba
Sasa mimi sipendi yule msichana ambaye anajivunga halafu akitoka hapo anatamani kulia..akikiangalia chakula anatamani kurudi akichukue.....Njaa inamuuma...then ukute anakoenda anaenda kugegedwa inakuwa shiida na njaa yake maskini
Chakula kimelipiwa Kulaa, sio unakata kinyango eti ndio umeshiba wakati ukimuangalia tuu unajua huyu hajashiba...nyumbani Mapaja mawili ya kuku hayakutoshi...
Kaka wakati wakula kama sijabembeleza weeeee basi shem wako ataondoka na njaaHe he he we utakuwa wale warembo wanaokula soseji mbili halafu wanashiba
ulijuaje kula mpaka nibembelezwe hata utafiti anajua hili
Mi wangu anakula kama ana safari za miguu,naomba msimenshen
Kaka wakati wakula kama sijabembeleza weeeee basi shem wako ataondoka na njaa
Mambo dear wangu?
Mi wangu anakula kama ana safari za miguu,naomba msimenshen
Yani hii ni ombi maana patachimbika
umeona eeeh ndege wafananao huruka pamoja rahaje wote kubembelezana lol
Khantwe na alivyombea huku jf kana anazinusa post
Aaaah basi bhana mkeo kashakinukisha hapo juu
makalio yenu....!!!!
Kabisa kabisa....ila me napenda udeke sana deka tu dear....
Hahahah inabidi nitoe kitufe cha @ kwenye simu yake