Recent content by stun

  1. S

    Mkanda wa jeshi (Herpes zoster/ shingles) fahamu kuhusu dalili na tiba yake

    Yes...kama hujawahi ugua chicken pox.. Na huna hao virus hutaweza pata mkanda wa jeshi. Just a caution though. Unaweza kuwa na hao virus from utotoni as ulipata chicken pox japo haikuwa clinically obvious kutokana na immunity yako awali pamoja na strain ya virus...then if that was the case..it...
  2. S

    Dar es Salaam Operation ni biashara kubwa wajawazito

    Kwamba alitumia kwa miezi mitatu???....kwa maana nyingine huyu mama wakati unampeleka hospitali alikuwa na miezi sita ya ujauzito!!!....aliyekuambia kuwa mtoto anakaa hali ya kawaida (kutanguliza kichwa) kama anataka kuzaliwa akiwa na wiki 24 ni nani?.... ukipewa ushauri na mtaalamu na kama...
  3. S

    Dar es Salaam Operation ni biashara kubwa wajawazito

    Jodari,..kwa heshima na taadhima, haya uliyoandika hapa yanakufanya uonekane chizi... 1. Huduma ya upasuaji ama uzazi kwenye vituo vya serikali ni BURE. Wewe kutokana na kutaka 'better' service na utofauti, ulienda kituo binafsi (umesema mikumi). Yes huduma kwenye vituo binafsi ni ya kulipia. Ni...
  4. S

    Ukubwa au Udogo wa Makalio Unatokana na Nini?

    Kisayansi, sijawahi kuona anal sex as an etiology to fat deposit around the buttocks. If this was the case, then the westerners would have even larger trunks than the bantus. But the reverse is true. From the anatomical point of view, human pelvis determines the shapes and size of the hip and...
  5. S

    Meli ya MV Skagit yazama

    Meli ya uokozi imeingia port na baadhi ya survivors kuna waliopotea kutokana na upepo mkali
  6. S

    Meli ya MV Skagit yazama

    Kwa taarifa tu ni kuwa bado wako baharini, hawajaokolewa. Meli iliyoenda kuwachukua/kuwaokoa (kilimanjaro) haijarejea..mawasiliano ni hafifu
  7. S

    Meli ya MV Skagit yazama

    Image captured from above by a friend aliyekuwa kwenye ndege ndogo Uki-zoom utaona watu in circles na maboya sad event
  8. S

    Madaktari hurudisha fedha walizopewa kama mkopo kwa HESLB?

    Madaktari wanapewa 100% ya 'mkopo' yes. wanakatwa immediately wakianza kulipwa mshahara (post internship). Tena ni rahisi maana wanakoajiriwa kwingi ni sekta za umma, ama taasisi za tafiti ambazo zote ziko linked na serikali. So hizo propaganda kuwa wanasomeshwa bure si za kweli mkuu!..binafsi...
  9. S

    Dr. Namala Mkopi (kiongozi wa MAT) afikishwa mahakama ya Kisutu

    brainless people..achana nao ndugu!..watu wanafikiri kwa kutumia vidole gumba vya miguuni!
  10. S

    Dr. Namala Mkopi (kiongozi wa MAT) afikishwa mahakama ya Kisutu

    walichofanya ni mazingaumbwe tu..hamna kesi hapo!.. Wame mcharge kwa sheria ipi ya jinai?
  11. S

    Dr. Namala Mkopi (kiongozi wa MAT) afikishwa mahakama ya Kisutu

    pole sana kwa wishes zako..mmeshamkosa, ndo hamumpati tena..kawaambie waliokutuma walichemsha kutojua dalili za mtu aliyekufa..sasa kazi kwenu!..mtatajana tu!
  12. S

    Chama cha Madaktari Tz chawasilisha maombi UN ya ulinzi kwa viongozi wake

    hahahaaa...nchi ipi hiyo unayoijenga mkuu?.. ile ya walimu wanaogoma na kuwafelisha wanetu? ama ile ambayo watu wanazurura na makoti meupe wakiwa wamekata tamaa kututibu?.. labda kuna nchi ya kipekee unayoijenga blaza
  13. S

    Chama cha Madaktari Tz chawasilisha maombi UN ya ulinzi kwa viongozi wake

    hivi wewe una umri gani?...mbona unaropoka matusi kwa watu usiowafahamu..ilihali ukibanwa hernia ndio utakaowakimbilia?...hao unaowaita paka ndio watakaomzalisha mkeo, ndio watakaomuongezea njia na kumshona mkeo..ndio watakaokutia kidole kuangalia kama tezi lako ndilo limezuia mkojo.. we...
  14. S

    Madaktari: Hiki ndicho kilichomuua Kanumba

    Rejao, usikurupuke kijana,..nitajie daktari wa kitanzania unayemjua aliyebariki tiba ya babu wa Loliondo. Nijuavyo mimi, chama cha madaktari kilitoa tamko mapema sana. Pole sana kama huwaamini madaktari wa Tanzania.
  15. S

    How to 'kill' mwananchi!

    This is great Sir. Thank you!
Back
Top Bottom