Dr. Namala Mkopi (kiongozi wa MAT) afikishwa mahakama ya Kisutu

Dont over estimate your self- importance, you guys are spoilt grown up kids.
Try making your self scarce, and you wont be missed.
Umesema vema.
It is very hard to explain this to the majority as the reality is hidden by the power holders. they stand preaching decrease in maternal mortality, campaign for HIV prevention, road safety, child and mother
health, security, new budget with new tax rates, new schools; they forget that the core is Tanzania citizen. They kill our unity. We endup hating each other. We think doctors are proud, we think teachers are corrupted, we think police are thiefs, we think university students are cruel, we think farmers are not serious, we think youth are immoral; at the end everybody take his way. We praise them fo punishing our enemies.
 
Hakuna haja ya kuwa na wasiwasi au kuanza kutoa majibu ya anachotakiwa kukijibu yeye mahakamani .......ana akili timamu na atajibu hivyo ila ninachojiuliza na nimeuliza wenzangu humu bila kupata majibu ni kwamba.....je alipopata court order aliitekeleza?? Mtasema hakuwa ameitisha mgomo yeye lakini wanachama wake (MAT- Chama kinachotambuliwa kisheria) walikuwa katika mgomo na amri ya mahakama ilimtaka awatangazie kuwa mgomo ni batili hadi mahakama itakapofanya uamuzi wa shauri lililopo mbele yake.....na je katika kutekeleza amri hiyo ..yeye binafsi alikwenda kazini??

Nimeipenda hii kwani haipo kishabiki imejaa fikra chanya kwani waliowengi humu wanashindwa kujenga hoja kwasababu ya ushabiki.
 
Hivi polisi na mahakama wanafahamu nani katangaza mgomo? Sina hakika kama MAT walitangaza mgomo.
 
dr namala mkopi go... Tuko nyuma yako kabisa.. Wachache hawajui kazi yetu ni ya kuendana na kiapo na kwa namna tunavyodai haya madai ya kuboreshwa huduma mbalimbali katika sekta ya afya,baadhi wanaidiverge hoja kwenda kwenye dai la 7 au la 8 huko kati ya madai yote...

Lakini hawajui yote ni kwamba tunataka kiapo chetu tukitekeleze barabara... Tukilazimika kufanya kazi kwa mtindo huu,nina imani kubwa kwamba baadhi yetu,si wote,ila baadhi yetu,tutakuwa na ganzi katika kukikukumbuka na kukiheshimu kiapo chetu...
lakini unavyoona kugoma na kuwaua watanzania ndilo suluhisho la kuboresha mazingira ya kazi
 
Ninyi ropokeni tu, siku madaktari nao wakianza kulipiza kisasi mtaenda kutibiwa wapi? Hasa ninyi mnaojifanya hamuthamini wala hamtaki kuelewa madai ya madaktari.
 
Napa hisia huyu ni quack doctor.
Elimu yote aliyopata primary sekondari hata vyuo vikuu( kama alifaulu kweli bila kufiji vyeti), hawezi hata ku- consruct proper english sentenses.
Ndo mnawaandikia wagonjwa sumu ninyi.
Mawazo yako ni ya kifisi-maji kabisa. Kwani kujua english sana ndiyo nini; ndiyo elimu? Kitu gani umeshindwa kuelewa ktk barua hiyo? Mbona hata kiswahili hapa JF watu wanakikosea sana tu, sembuse kiingereza? Acha hiyo weye!!
 
Siku za nyuma niliwahi kuweka topic moja ambayo ndani yake nilisema hawa jamaa ni laana ya watanzani kutokana na matendo na dhuluma zao dhidi ya watanzania ndio inawasumbua na kuwa hivi sasa wanatumikia laana hiyo bila kujijua.Kushindwa kufanya maamuzi sahihi ni matokeo ya laana hii kuwatafuna na mwisho wake ni utawala wao kuangukia pua.
Tusubiri tuone.
 
Mahakama imesha chelewa kufanya kazi yake kwani jk alisha toa hukumu . Tz ni zaidi ya uijuavyo.
 
This is just silly; ni kama wanafuata kitabu cha utawala wa kikoloni. Kwenye kitabu kile serikali ikizidiwa inatumia mahakama au nguvu. Watafikishwa wangapi mahakamani?
 
Yani Mahakama imempa cheo cha Dr.Ulimboka na kumshitaki juu. Kuna haja ya Nguvu ya Umma nayo ku-excercise power yake. Maana hatuoni umakini wowote katika kushughulikia tatizo hili linalotuumiza sana sisi makabwela.
Nakubaliana na wewe, lakini nauliza swali kwa wote wana JF, hivi kudai uhuru wakati wa mkoloni ulikuwa ni uchochezi? Kweli tumezidi tambo za mkoloni
 
Mawazo yako ni ya kifisi-maji kabisa. Kwani kujua english sana ndiyo nini; ndiyo elimu? Kitu gani umeshindwa kuelewa ktk barua hiyo? Mbona hata kiswahili hapa JF watu wanakikosea sana tu, sembuse kiingereza? Acha hiyo weye!!
Somebody said value for money, ninyi ni kama gari jipua lililotoka kiwandani lakini body work ina kutu kibao, na breki hazifanyi kazi- linaozea show room and nobody wants it.

One can always note proffessional rot.
Acheni tu mshangiliwe na watu ambao hawakwenda shule.
 
Serikali imtoe sadaka huyo Dr aende jela ili wengine waogope wasirudie tena.

Sina shaka siemens umetumwa na serikali au ww ni mmoja wa hitman wa mabwepande kwani kumpeleka prosecute dr mkopi siyo tiba ya kuwaziba midomo wakereketwa au freedom fighters. Kwani claims za doctors sio mshahara tu bali ni vitendea kazi ambavyo viko hoi kabisa now angalia take home ya mbunge na dr angalia margin ni kubwa sana. Kumbuka doctors ndio fundi wa mwili wako.
 
Kiongozi wa madaktari nchini Dr. Namala Mkopi (daktari bingwa wa watoto),amefikishwa katika mahakama ya Kisutu asubuhi hii kujibu shutuma za uchochezi na kupuuza amri ya mahakama ya kusitisha mgomo wa madaktari unaoendelea nchini.


N.B. Mgomo huo haukunzishwa na MAT, ulianzishwa na inayoitwa Jumuiya ya Madaktari chini ya kamati inayoongozwa na Dr. Ulimboka, na kuungwa mkono na madaktari nchini.


Tusubiri kuona hili saga litakavyoendelea....




Wame mcharge kwa sheria ipi ya jinai?
 
walichofanya ni mazingaumbwe tu..hamna kesi hapo!..




Wame mcharge kwa sheria ipi ya jinai?[/QUOTE]
 
Ninyi ropokeni tu, siku madaktari nao wakianza kulipiza kisasi mtaenda kutibiwa wapi? Hasa ninyi mnaojifanya hamuthamini wala hamtaki kuelewa madai ya madaktari.

brainless people..achana nao ndugu!..watu wanafikiri kwa kutumia vidole gumba vya miguuni!
 
Back
Top Bottom