Sisi watu wa Darisalama tuna undugu wa damu wa waunguja, na tumekuwa ndugu kwa miaka mia kadhaa. Muungano ulipokuja umekuta sisi tumeshakuwa ndugu na hakuna Mdarisalama halisi hata mmoja asiyekuwa na ndugu wa damu ambaye ni Muunguja.
Sasa basi, kabla hatujawafukuza wazanzibari, tutawafukuza nyie...