Dr Slaa: Chadema kujenga Mfumo Mpya wa Elimu Mwaka 2015

Dr Slaa: Chadema kujenga Mfumo Mpya wa Elimu Mwaka 2015

Lugha ya kufundishia (shule za misingi) itakua ipi?!
 
Unewaza kusema hivyo kumbe we unayesema hivyo ndo punguani kwa sababu ya ufahamu mdogo wa kuelewa mambo na hii inatokana na ushabiki wa chama ulichopo.

moja ya sifa za wanachi wa tanzania zinazoifanya ccm ibaki madarakani ni ujinga wa sisi wananchi na ndio maana ccm wanatumia kila mbinu kutubakisha watanzania sisi ktk lindi la ujinga ili tusiweze kuyapambanua mambo ya msingi na kuyatolea maamuzi na hivyo kubaki kwenye vyama kama mashabiki wa michezo ya siasa tu!
baadhi ya mbinu wanazozitumia ccm kupitia serikali yao ni;
  • kuvuruga usimamizi bora wa elimu mfano wameidhoofisha idara ya ukaguzi elimu!
  • kuminya maslahi ya walimu ili kuwaondolea ari ya kufundisha kwa dhati!
  • kuwarundika watoto kwenye vyumba bila uwepo wa walimu na kuita watoto wapo shule(shule za kata)
  • kuwekeza ktk miradi yazimamoto ndani ya elimu mfano walimu voda fasta
  • kupanga bajeti karatasini na kutoa fedha kiwango cha chini tofauti na ilivyoidhinishwa na bunge!
  • kuvuruga mitaala kila wakati
  • kuondoa ufanisi na tija kwenye upimaji wa wanafunzi mfano mitihani ya drs la nne na kidato cha pili kutokuwa na hadhi ile ya awali!
je cdm wataweza kututoa hapa au nao watapenda kutuona tukiendelea kuwa wajinga ili watutawale kiraisi na kutuvuna?
tafakari nami!
 
Lugha ya kufundishia (shule za misingi) itakua ipi?!

kazi ipo!
hotuba inaonesha wataipa kipaumbele lugha ya kiingereza,
haikugusia kabisa kiswahili, si unajua alikuwa mgeni rasmi kwenye shule inayotumia kimombo kufundishia?
siasa bwana!
 
Nina wasiwasi uchambuzi wa kina haujafanywa ukiwemo wa kisayansi. Sasa kukua kwa Watoto kumeanza siku hizi kabla ya CDM kuanzishwa watu walikuwa hawakui wakiwemo waliotoa hotuba hiyo. CDM hiyo jamani.
 
Hii dhana mtu akipingana na mitazamo ya Chadema mnasema mipasho mie nimehoji sera ya Chadema kutoa elimu bure kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu imefia wapi.


Itaanza 2015 baada ya kuchukua nchii kutoka kwa mabosi wako jk na ccm
 
Umri wa Watoto kuanza Shule duniani.


EMBED
1980-19811982-19861987-19911992-19961997-20012002-20062007-2011
Country name 2007 2008 2009 2010 2011
Afghanistan 7 7 7 7 7
Albania 6 6 6 6 6
Algeria 6 6 6 6 6
American Samoa 6 6 6 6 6
Andorra 6 6 6 6 6
Angola 6 6 6 6 6
Antigua and Barbuda 5 5 5 5 5
Argentina 6 6 6 6 6
Armenia 7 7 7 7 7
Aruba 6 6 6 6 6
Australia 5 5 5 5 5
Austria 6 6 6 6 6
Azerbaijan 6 6 6 6 6
Bahamas, The 5 5 5 5 5
Bahrain 6 6 6 6 6
Bangladesh 6 6 6 6 6
Barbados 5 5 5 5 5
Belarus 6 6 6 6 6
Belgium 6 6 6 6 6
Belize 5 5 5 5 5
Benin 6 6 6 6 6
Bermuda 5 5 5 5 5
Bhutan 6 6 6 6 6
Bolivia 6 6 6 6 6
Bosnia and Herzegovina 6 6 6 6 6
Botswana 6 6 6 6 6
Brazil 7 7 7 7 6
Brunei Darussalam 6 6 6 6 6
Bulgaria 7 7 7 7 7
Burkina Faso 7 7 7 6 6
Burundi 7 7 7 7 7
Cambodia 6 6 6 6 6
Cameroon 6 6 6 6 6
Canada 6 6 6 6 6
Cape Verde 6 6 6 6 6
Cayman Islands 5 5 5 5 5
Central African Republic 6 6 6 6 6
Chad 6 6 6 6 6
Chile 6 6 6 6 6
China 7 7 7 7 7
Colombia 6 6 6 6 6
Comoros 6 6 6 6 6
Congo, Dem. Rep. 6 6 6 6 6
Congo, Rep. 6 6 6 6 6
Costa Rica 6 6 6 6 6
Cote d'Ivoire 6 6 6 6 6
Croatia 7 7 7 7 7
Cuba 6 6 6 6 6
Curacao
Cyprus 6 6 6 6 6
Czech Republic 6 6 6 6 6
Denmark 7 7 7 7 7
Djibouti 6 6 6 6 6
Dominica 5 5 5 5 5
Dominican Republic 6 6 6 6 6
Ecuador 6 6 6 6 6
Egypt, Arab Rep. 6 6 6 6 6
El Salvador 7 7 7 7 7
Equatorial Guinea 7 7 7 7 7
Eritrea 7 7 7 7 7
Estonia 7 7 7 7 7
Ethiopia 7 7 7 7 7
Faeroe Islands
Fiji 6 6 6 6 6
Finland 7 7 7 7 7
France 6 6 6 6 6
French Polynesia
Gabon 6 6 6 6 6
Gambia, The 7 7 7 7 7
Georgia 6 6 6 6 6
Germany 6 6 6 6 6
Ghana 6 6 6 6 6
Greece 6 6 6 6 6
Greenland
Grenada 5 5 5 5 5
Guam 6 6 6 6 6
Guatemala 7 7 7 7 7
Guinea 7 7 7 7 7
Guinea-Bissau 7 7 7 7 7
Guyana 6 6 6 6 6
Haiti 6 6 6 6 6
Honduras 6 6 6 6 6
Hong Kong SAR, China 6 6 6 6 6
Hungary 7 7 7 7 7
Iceland 6 6 6 6 6
India 6 6 6 6 6
Indonesia 7 7 7 7 7
Iran, Islamic Rep. 6 6 6 6 6
Iraq 6 6 6 6 6
Ireland 5 5 5 5 5
Isle of Man
Israel 6 6 6 6 6
Italy 6 6 6 6 6
Jamaica 6 6 6 6 6
Japan 6 6 6 6 6
Jordan 6 6 6 6 6
Kazakhstan 7 7 7 7 7
Kenya 6 6 6 6 6
Kiribati 6 6 6 6 6
Korea, Dem. Rep. 6 6 6 6 6
Korea, Rep. 6 6 6 6 6
Kosovo
Kuwait 6 6 6 6 6
Kyrgyz Republic 7 7 7 7 7
Lao PDR 6 6 6 6 6
Latvia 7 7 7 7 7
Lebanon 6 6 6 6 6
Lesotho 6 6 6 6 6
Liberia 6 6 6 6 6
Libya 6 6 6 6 6
Liechtenstein 7 7 7 7 7
Lithuania 7 7 7 7 7
Luxembourg 6 6 6 6 6
Macao SAR, China 6 6 6 6 6
Macedonia, FYR 7 6 6 6 6
Madagascar 6 6 6 6 6
Malawi 6 6 6 6 6
Malaysia 6 6 6 6 6
Maldives 6 6 6 6 6
Mali 7 7 7 7 7
Malta 5 5 5 5 5
Marshall Islands 6 6 6 6 6
Mauritania 6 6 6 6 6
Mauritius 5 5 5 5 5
Mexico 6 6 6 6 6
Micronesia, Fed. Sts. 6 6 6 6 6
Moldova 7 7 7 7 7
Monaco 6 6 6 6 6
Mongolia 7 7 6 6 6
Montenegro 7 7 7 7 7
Morocco 6 6 6 6 6
Mozambique 6 6 6 6 6
Myanmar 5 5 5 5 5
Namibia 7 7 7 7 7
Nepal 5 5 5 5 5
Netherlands 6 6 6 6 6
New Caledonia 6 6 6 6 6
New Zealand 5 5 5 5 5
Nicaragua 6 6 6 6 6
Niger 7 7 7 7 7
Nigeria 6 6 6 6 6
Northern Mariana Islands
Norway 6 6 6 6 6
Oman 6 6 6 6 6
Pakistan 5 5 5 5 5
Palau 6 6 6 6 6
Panama 6 6 6 6 6
Papua New Guinea 7 7 7 7 7
Paraguay 6 6 6 6 6
Peru 6 6 6 6 6
Philippines 6 6 6 6 6
Poland 7 7 7 7 7
Portugal 6 6 6 6 6
Puerto Rico 6 6 6 6 6
Qatar 6 6 6 6 6
Romania 7 7 7 7 7
Russian Federation 7 7 7 7 7
Rwanda 7 7 7 7 7
Samoa 5 5 5 5 5
San Marino 6 6 6 6 6
Sao Tome and Principe 6 6 6 6 6
Saudi Arabia 6 6 6 6 6
Senegal 7 7 7 7 7
Serbia 7 7 7 7 7
Seychelles 6 6 6 6 6
Sierra Leone 6 6 6 6 6
Singapore 6 6 6 6 6
Sint Maarten (Dutch part)
Slovak Republic 6 6 6 6 6
Slovenia 6 6 6 6 6
Solomon Islands 6 6 6 6 6
Somalia 6 6 6 6 6
South Africa 7 7 7 7 7
South Sudan
Spain 6 6 6 6 6
Sri Lanka 5 5 5 5 5
St. Kitts and Nevis 5 5 5 5 5
St. Lucia 5 5 5 5 5
St. Martin (French part)
St. Vincent and the Grenadines 5 5 5 5 5
Sudan 6 6 6 6 6
Suriname 6 6 6 6 6
Swaziland 6 6 6 6 6
Sweden 7 7 7 7 7
Switzerland 7 7 7 7 7
Syrian Arab Republic 6 6 6 6 6
Tajikistan 7 7 7 7 7
Tanzania 7 7 7 7 7
Thailand 6 6 6 6 6
Timor-Leste 6 6 6 6 6
Togo 6 6 6 6 6
Tonga 5 5 5 5 5
Trinidad and Tobago 5 5 5 5 5
Tunisia 6 6 6 6 6
Turkey 6 6 6 6 6
Turkmenistan 7 7 7 7 7
Turks and Caicos Islands 6 6 6 6 6
Tuvalu 6 6 6 6 6
Uganda 6 6 6 6 6
Ukraine 6 6 6 6 6
United Arab Emirates 6 6 6 6 6
United Kingdom 5 5 5 5 5
United States 6 6 6 6 6
Uruguay 6 6 6 6 6
Uzbekistan 7 7 7 7 7
Vanuatu 6 6 6 6 6
Venezuela, RB 6 6 6 6 6
Vietnam 6 6 6 6 6
Virgin Islands (U.S.) 6 6 6 6 6
West Bank and Gaza 6 6 6 6 6
Yemen, Rep. 6 6 6 6 6
Zambia 7 7 7 7 7
Zimbabwe 6 6 6 6 6
1980-19811982-19861987-19911992-19961997-20012002-20062007-2011
 
Baada ya Kauli ya Dr. Slaa kuhusu ukuaji wa Watoto na kuanza Shule nikaingia google na inaonyesha umri wa Watoto kuanza Shule duniani Ni Kati ya miaka 5 na 7.utafiti zaidi unatakiwa kujua je Ni Shule ipi chekechea Au Msingi.
 
Ujinga wenyewe ni kwamba, upuuzi wote huu umetokea katika shule inayoitwa "Queens english medium".

Slaa anafaa hata kuwa waziri wa elimu wa uingereza.
 
Unewaza kusema hivyo kumbe we unayesema hivyo ndo punguani kwa sababu ya ufahamu mdogo wa kuelewa mambo na hii inatokana na ushabiki wa chama ulichopo.

ahaaahaa utapata njozi kabla ya usingizi? Naona umeshepata ufahamu wa nani punguani!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Taratibu wale washauri wakujitolea wa CDM wanapata majibu yao.Waandae paltform tuu ya kupewa majibu yao.
 
dr slaa angefaa kua nchi zilizoendelea anapenda siasa za issue based na siyo vijineno na uswahili mwingine ambao ni siasa za CCM wanazoziendeleza miaka 30 sasa toka kufa kwa ujamaa na empty rhetoric politics. sadly watz wako nyuma miaka 10 kuhusu siasa hizi za kisasa.



Mungu ibariki Tanganyika
 
ni kweli lazima tuungane katika hili lakini ni kweli kwamba sera ya elimu ya1995 ni mbovu kiasi hiki ama usimamizi na utekelezaji ndio mbovu?
hapa hata kwa sera nyingine yoyote itakayoletwa kwa usimamizi na utekelezaji huu sioni elimu bora tanzania!
Kama taifa lazima sasa tujadili mfumo wetu wa elimu maana elimu ndio taifa lenyewe
 
Sera ya elimu bure imefia wapi tena...sasa hiyo namba ya simu ya shule inahusiano gani na hotuba ya Dr Slaa.

Nadhani wameweka hiyo namba in case Serikali ikitaka kuwaita viongozi wa shule hiyo ili wawapige mkwara kwanini wamemruhusu slaa kuwa mgeni rasmi ilihali kuna wakuu wa wilaya na wtu wa namna hiyo
 
Hivi Dr Slaa bado anawaza kweli kuwa rais wa Tanzania tufike wakati tuwe wakweli Dr Slaa, ataendelea kuwa rais kivuli wa Tanzania miaka yote.

Kwani Dr Slaa kuna mahali umemsikia akitamka kua anauataka uraisi mbona unakua na Sober mind?
 
Kwanza nafikiri itazameni CV yake Dr Slaa.
Je anataka kutumia mfumo aliotumia yeye kufikia hiyo doctorate yake?
Pole sana Dr Slaa.
 
Inaleta mantiki,tuchukue shule kadhaa kama sample,wanafunzi waanze kusoma sasa tujifunze itakavyokuwa kabla hatujafikia huko.without politics no education........................real?

ni kweli lazima tuungane katika hili lakini ni kweli kwamba sera ya elimu ya1995 ni mbovu kiasi hiki ama usimamizi na utekelezaji ndio mbovu?
hapa hata kwa sera nyingine yoyote itakayoletwa kwa usimamizi na utekelezaji huu sioni elimu bora tanzania!
 
Sasa anaesema kuhusu Elimu ni Slaa au Mkumbo?

Chadema hawana jipya.
 
kazi ipo!
hotuba inaonesha wataipa kipaumbele lugha ya kiingereza,
haikugusia kabisa kiswahili, si unajua alikuwa mgeni rasmi kwenye shule inayotumia kimombo kufundishia?
siasa bwana!

Usiwe mvivu wa kusoma. Imesisitizwa waziwazi kabisa kwamba mkazo utakuwa ni kuhakikisha watoto wanajua vizuri lugha zote mbili, Kiswahili na Kiingereza. Soma hapa: Alisema sera ya Chadema ni kuhakikisha watoto wanazungumza kiswahili vizuri lakini pia kuhakikisha wanamudu lugha ya kiingereza. Sasa wewe mwenzetu hayo hapo juu umeyatoa wapi au ndio spinning?
 
Back
Top Bottom