Swali: Hivi itakuwaje? Chadema 2015 ikashindwa ikashinda CCM

Kha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaa!!

NA BADO,UTAKUWA OFF KABISA
Chadema ya zamani angalau watu walikuwa hawajaifahamu. Atleast sasa hivi watu wameshakifahamu Chadema ni chama cha wakina nani na kina itikadi gani. Sasa hivi kwenye SWOT analysis ya chama tunaangalia tu factors za ndani. Huko nje hatuumii tena kichwa, kazi imekwisha siku nyingi.
 
Unaweza kuota ukiwa macho CDM bado sana kushinda urais si shangai kusema watashinda kwani binaadam tumeumbwa na tamaa kwaza wajaribu kuongeza idadi ya wabunge bungeni urais bado sana kupambwa na tanzania daima na kujiona wengi kwenye mitandao sio kuvimba kichwa na kujiona wengi mnao weza kushinda urais jipangeni kwa 2025 kama hatorudi nyuma
 
Mbona hausemi ccm ikishindwa itakuaje?umeona chadema tu ndio ya kushindwa toa hayo mawazo fikirani mwako,toka kwenye ukungu wewe
 
Magufuli akisimama na Slaa hapo Chadema lazima wapigwe vibaya na akishinda Magufuli basi Chadema wajipange kwa 2025!
 
Chadema ya zamani angalau watu walikuwa hawajaifahamu. Atleast sasa hivi watu wameshakifahamu Chadema ni chama cha wakina nani na kina itikadi gani. Sasa hivi kwenye SWOT analysis ya chama tunaangalia tu factors za ndani. Huko nje hatuumii tena kichwa, kazi imekwisha siku nyingi.
wananchi wameelewa kuwa wenye ccm ni kina nani.
 
Ni vyema kujadiri pande zote mbili za shilingi kwa maana ya chadema na ccm. Lolote linawezatokea kushinda au kushindwa Kati ya kimojawapo. Hii ndio maana ya ushindani ktk siasa. Hoja ya msingi ni kwa namna gani aliyetajwa kushinda kashinda na namna alivyo tajwa kuwa ni mshindi. Na je kuna vyombo vinavyoaminika kutoa haki kwa kesi za uchaguzi?

Naiona Tanzania yenye vurugu na isiyo na AMANI kabisa kama tunaingia uchaguzi 2015 bila katiba au malekebisho ya sheria zauchaguzi na tume ya uchaguzi. You can imagine the confidence that EL has despite all corruptions against him and his party. Kazi bado tunayo....
 
Kwa vp? Kwani ufunguo wa magogoni Hao majmbazi wameweka wapi? CHADEMA itaingia bila vkwazo.
ALL WE NEED IS CHANGE. ENOUGH IS ENOUGH ITS HIGH TIME NOW FOR CHAMA CHA MAFISADI (ccm) TO PACK AND GO. M4C WILL TAKE OVER. OTHERWISE ITAKUWA KAMA NCHI JIRANI KWA KIBAKI. TUMECHOKA NA UOZO WAO BWANA. THIS PEOPLE ARE NOT SERIOUS. HII NCHI SASA HIVI INA WASOMI NA WANAJUA NINI KIZURI NA NN KIBAYA.
 
tuingie mitaani na kufanya nchi isitawalike. Ccm kushinda ni sawa na kumfufua maiti. Kama watanzania wataendelea na ukondoo huu wasinilaumu kuwa sikuwapa ushauri kama baba yao.
chama cha mafisadi hakiwezi kamwe kushinda no matter what! Yaani sina hata hamu nacho...no matter what hakitapita tena enough is enough we are fed up! Get ready to hand over the white house to dr!
 
Kwani lazima ishinde CDM? Si ni sisiw ananchi ndio tunaamua nani akae hapo Magogoni?

Nilidhani ungeuliza kama itakuwaje Chadema wakishinda kiti cha urais huku kwenye ubunge CCM wakaweka wabunge 70% bungeni?
 
Itakuwa mwisho wa Padri Slaa kwani umri utakuwa umempa kisogo na kale katoto ni kadogo nadhani ataconcetrate kulea mtoto.Lema atakuwa ameshalipa deni la gari la bunge atakuwa mpiga debe manake bila degree hutaruhusiwa kuwa mbunge.Sugu atarudi stejini kushika mic
 
naomba washindwe maana Kama wakishinda itakua balaa,ambao tutakua hatujapata kazi mpaka kipindi hicho itakua imekula kwetu maana hii cdm inaongozwa na wachaga na wanaongoza kwa ubaguzi kuanzia maofisi na kila sehemu mf.cdm kwenyewe ukimkuta kiti maalum siyo mchaga basi atakua na uhusiano na kiongozi wapo tayari kumpa mchaga hata kama shule hamna,itabiti tubadili kauli mbiu badala peoples power tuweke wachagaaa kwanza .
 
wewe kama miye ingawa bado sijaamua nihamie nchi gani, huenda nikarudi kwa mababu zangu zambia au kwa mabibi mozambique

ndugu zetu wazimbabwe vipi? maana yake wale walikua taifa moja na sisi muda si mrefu sana katika historia yetu
 
chadema hakiwezi kuongoza nchi sababu kipo kidini zaid labda waanze upya
 
Siku zote mfa maji haishi kutapatapa mara sangara, 4c, mara umoja wetu, mara gamba vc gwanda lakinizote ni nguo tofauti rangi tu ambazo ni mwembwe, mpira ni dakika 90 haya matumaini ya sasa ni kama ndoto za kimweri. fanyeni mazoezi lakini yasiwe ya kumwaga damu sizizo na hatia wakati wenzetu chopa zinawasubiri kuwarusha.
 
Itakuwa mwisho wa Padri Slaa kwani umri utakuwa umempa kisogo na kale katoto ni kadogo nadhani ataconcetrate kulea mtoto.Lema atakuwa ameshalipa deni la gari la bunge atakuwa mpiga debe manake bila degree hutaruhusiwa kuwa mbunge.Sugu atarudi stejini kushika mic

Kisha wataendelea kupiga mayowe "tumeonewa!!!!!! tumeonewa!!!!!" kama kawaida yao. Atatokea bibi wa loliondo mwingine, atawanywesha maji ya bwana, zitto atafukuzwa rasmi....., basi mchezo kwishnei.
 
Du, anza tu kutafuta uraia wa huko kenya, kwa sababu no way chadema itashinda! hv ya maneno umeandikiwa au yanatoka moyoni mwako. are you serious?
Kama itashinda CCM nahamia Kenya, siwezi na sitaki tena kutawaliwa na CCM kwa miaka 50 mingine pasipo maendeleo.
 
Back
Top Bottom