Kama Tanzania inataka kusaidia Congo, isifanye kwa siri

Juzi jioni nilimskia waziri wa ulinzi akisema serikali ya Congo imekwisha fanya makubaliano na serikali ya Tanzania kupeleka jeshi lake kuwaondoa waasi wa M23. Sikupata uthibitisho tu kutoka serikali yetu!
 
Sisi wanajeshi tunaipenda sana, maana huwezi kupandishwa cheo kuvuka ukomo fulani bila kushiriki vita yoyote.

Hata hivyo, karibu duniani kote, mambo yanayohusu usalama yanahitaji maamuzi ya haraka, na hivyo si lazima kusubiri kikao cha Bunge. Bunge litapitisha baadaye (delegate legislations).
 
Sisi wanajeshi tunaipenda sana, maana huwezi kupandishwa cheo kuvuka ukomo fulani bila kushiriki vita yoyote.

Hata hivyo, karibu duniani kote, mambo yanayohusu usalama yanahitaji maamuzi ya haraka, na hivyo si lazima kusubiri kikao cha Bunge. Bunge litapitisha baadaye (delegate legislations).
Ok, kama munapenda kwenda vitani ili mpandishwe vyeo poa, lakini gharama wagharamie wengine, pesa za wavuja jasho wa TZ zifanye maendeleo nyumbani, sio zikapigane na akina Jean Marie Vianney Kazarama.
 
Hebu mtu mwenye ujuzi kidogo na mambo ya kijeshi na kisheria anifafanulie kuwa ili jeshi letu lishiriki mision ya kijeshi nje ya mipaka yetu ni nani anaamua?

Bunge linatoa idhini au Amiri jeshi mkuu anaweza kutuma majeshi nje ya mipaka yetu kwa kutumia utashi wake tuu?? kama jibu ni kuwa Amiri jeshi mkuu anaweza kuamua tuu basi katiba mpya ifute madaraka hayo maana anaweza kuja kuinuka rais mpenda vita akawa anapeleka majeshi kokote anakopenda, lazima bunge liidhinishe majeshi kwenda vitani!
 
Sisi wanajeshi tunaipenda sana, maana huwezi kupandishwa cheo kuvuka ukomo fulani bila kushiriki vita yoyote.

Hata hivyo, karibu duniani kote, mambo yanayohusu usalama yanahitaji maamuzi ya haraka, na hivyo si lazima kusubiri kikao cha Bunge. Bunge litapitisha baadaye (delegate legislations).
1.kwa hiyo wewe upo tayari kufa au kuuwa watu wengine au kuona askari wetu wanakufa au kuwa mateka au kupata majereha na vilema vya kudumu kisa unataka cheo??ulaaaniwe!
2. Vita ya Congo ina udharura gani kiasi kwamba inaweza ku skip session ya bunge kuidhinisha majeshi kuingia vitani?kwani tumevamiwa? vita imeanza leo au jana?? think twice before you utter your rubbish!
 
Wanalo mkuu,lakini kwa bahati mbaya halina nguvu!

sio kwa bahati mbaya sema kwa UZEMBE jeshi lao ni dhaifu! kuna bahati mbaya gani inayojustify taifa kubwa kama DRC lenye kila rasimali liwe na jeshi dhaifu vile? yaani wanapelekeshwa na vinchi vidogo kama Rwanda, na Burundi??
 
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haimlazimishi AmiriJeshi Mkuu kuomba idhini ya Bunge kuyafanya haya. Saana akiwa mstaarabu ataliarifu Baraza la Usalama la Taifa ambalo nalo sidhani ni lazima liidhinishe kazi hii.
 
waache waende hakuna kazi wanayofanya hapa zaidi ya kula kula tu na kujazana gesti
 
Hili jambo kama ni kweli basi inabidi tuwe makini kwa sababu M23 ni jeshi la kagame, Rwanda. Jeshi la kagame lina nidhamu ya hali ya juu na jeshi lenye nidhamu hushinda vita. Hawa wanajeshi wetu wanaopiga raia au kufyatua mitama waislamu wasijidanganye kwamba kwenda kukwaana na Kagame ni kazi rahisi. Hiyo basi, kama tunaamua muwavaa tuwe gado na kila mwanamume awe tayari kwenda mstari wa mbele.
 
3:38PM EST November 21. 2012

GOMA, Congo (AP) - The M23 rebels pressed ahead with their seizure of territory and towns in eastern Congo on Wednesday and said they intend to topple the government of President Joseph Kabila.


The rebels took control of the eastern Congo town of Sake in a bid to move toward the provincial capital of Bukavu.

"Kabila has to go. We want our country back," said M23 Col. Vianney Kazarama to cheers from thousands gathered at the stadium in Goma, which was seized by the rebels on Tuesday. "We are now going to Kinshasa. No one will divide this country."

Nearly 3,000 Congolese army soldiers and police defected to the rebels in Goma on Wednesday and turned in their weapons at the stadium rally.
 
Waende tu wakapate uzoefu.wataendelea kukaa,kula na kulala mpaka lini.watakua wazembe.
 
speechwriter

Mbona naona kama umewahi saana? Kwani sheria zipoje juu ya kutoa majeshi kwenda nje? Kule Njuani kwenye visiwa vya Comoros mbona walienda? Ilikuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ndo kazi na kiapo cha jeshi mkuu. Mwanajeshi ni zana so lazima itumike whether inside or outside the country.
 
Lazima alipe fadhila maana inakumbukwa wakati wa kuingia madarakani JK aliwahi kukopa(sina hakika kama alisharudisha) tsh 5bil sasa kwa situation kama hii...lazima na wewe uonyeshe unajali..kumsadia rafiki wakati wa shida!
 
Labda lengo ni kutumia nafasi hiyo kupora madini ili kupata fedha za kampeni 2015 maana kwa sasa mbinu zote zamani kuchota fedha za umma kwa uchaguzi zimebanwa kiukweli
 
Back
Top Bottom