kuna msg nmetumiwa na TCU,hii hapa chini. .
BP150817.2230.J06553, Confirmed 50000.0 received payment for University Admission. Your Voucher Number is RBQEMAUL.
Powered by MaxMalipo
Habari ndugu,
Najaribu kumfanya application ya chuo kupitia TCU, nmeshalipia 50,000 kwa tigo pesa na wanenitumia transaction ID tayari. Tatizo nalokutanalo nikiingia kujisajili TCU wanadai transaction ID ya M-pesa hakuna option ya tigo pesa kwenye registration process,tafadhali mwenye kujua...
Habari wana JF,
Mimi ni mwajiriwa katika airline moja hapa Tz, naomba msaada wa kuzifahamu kampuni zitakazo weza kunipatia gari wabaki na original card ya gari then tuingie mkataba wa kuwalipa kila mwezi kiasi tutakacho kubaliana mpaka nimalize kiasi kilicho baki nina milioni tano kama kianzio.
habari wana JF, mimi ni mwajiriwa katika airline moja hapa tz, naomba msaada wa kuzifahamu kampuni zitakazo weza kunipatia gari wabaki na original card ya gari then tuingie mkataba wa kuwalipa kila mwezi kiasi tutakacho kubaliana mpaka nimalize kiasi kilicho baki.nina milioni tano kama kianzio.
Sio airtel staff dirrect, kuna kampuni nyingine huwa zinachukua zabuni ya kuendesha na kusimamia kitengo cha huduma kwa wateja, naifahamu campuni moja inaitwa ya wahindi inaitwa ISON inawahudumia FASTJET pia
Naomba niende moja kwa zote kwenye mada husika.mimi ni me nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa takriban mwaka mmoja sasa, kwa kipindi kirefu tuko mbali kwani mimi nipo Dar na yeye ni mwanafunzi mkoani Kilimanjaro.
Kwa sasa Yupo likizo Dar, juzi tulipata wasaa panapo 6x6. Baada ya kufanya...
Habari wana JF
Naomba mwenye taarifa yeyote kuhusu mdahalo wa katiba mpya atujuze kama leo utakuwepo tufanye utaratibu kuweza kufika eneo husika, ASANTE.
Hari za mchana wana JF, matumaini yangu mu-wazima wa afya.
Ndugu yenu napata kigugumizi katika kuchagua aina ya gari ambayo haita nisumbua kati ya ist, toyota allex/runx au spacio new model tafadhali naomba ushauri wenu kwa wenye kuyafahamu vizur haya magari mimi sina uzowefu wowote kwasasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.