Naomba niende moja kwa zote kwenye mada husika.mimi ni me nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa takriban mwaka mmoja sasa, kwa kipindi kirefu tuko mbali kwani mimi nipo Dar na yeye ni mwanafunzi mkoani Kilimanjaro.
Kwa sasa Yupo likizo Dar, juzi tulipata wasaa panapo 6x6. Baada ya kufanya mapenzi ikajitokeza hali yakupotea uteute na kukauka kabisa kabisa mara mbili nyakati tofauti.
Naomba kujua je nikweli nilimfikisha?
Mpenzi wangu anatatizo?au nilikosea kumuandaa?
Wadau naomba uzoefu wenu kwenye hili tafadhali