Mimi wakuu naomba anaeweza amfundishe nape kutumia mic ili aeleweke anapoongea nachelea asije siku moja taya zikaganda kwa anavopiga kelele au hajui kama ukionge tu kawaoda sauti inatoka kubwa nachoka kabisa nikimuona anavopiga kelele
Kuna vitu kama hamujui bora msiseme bila kufanya utafiti kwanza kwa sababu sheria haziko hivo mnavodhani nilazima ubalozi wa nchi yoyote ile nilazima reseption akae yule raia wa ile nchi na huyo ulomkuta dubai sio muhindi niwale wadubai pure na ndo mana ukenda balozi zote zilozopoz Tz walioko...
Maneno ya lukuvi sawa na lori kubwa mashine ya bodaboda hivi mnajitapa tanganyika kubwa lukuvi uogope zanzibar ndogo si bure kipo kitu ndo mana mkawa mnaing'ang'ania sasa kama mna akili tafakarini.na muulizeni yule sura ya monchwar pinda aliposema zanzibar sio nchi ha ccm wenziwe walimfanya...
Yote tisa kumi muhogo alipomtapeli yule jamaa na kumtia Tanzania jeki mpaka kwake na mkewe akamplipia. Unaona wazi dume likiwa halina kitu mwanamke anafanya anavotaka .hata mtoto naye anakuwa poa kamlainisha baba ake buku tano halaf
anamwambia baba mi nna mimba na sijui ya nani hahahaa kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.