Wazanzibar tunataka haki itendeke kwenye mungano.

Wazanzibar tunataka haki itendeke kwenye mungano.

Turufuu

Senior Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
182
Reaction score
54
Utamskia

mtanganyika wazanzibari 2nawapa umeme wa bure hawalipii, Je ni
mzanzibari gani ambae halipi huduma ya umeme? Zny umeme umeanya kuwaka
tokea 1905 kabla ata badh ya nch za ulaya, Znz hailipii chochote
kwenye mungano, je Tanganyika inalipia bei gani kwenye mungano?
2naaminishwa km Tanganyika haipo je wizara ambazo c za mungano ni wizara
za nchi gani? Je kilimanjoro hua inawakilisha nchi gani kwenye
chalenji? Utamskie ccm wa zanzibar anasema znz ni ndogo haiwez
kujiendesha, iv wakuu kuna nch duniani imeshindwa kujiendesha kwa ajili
ya udogo wake? Au nch gani iliotajiri kwa ukubwa wake, ebu tuingalieni
India,na Singapur. 2meambiwa km mungano wa serekali tatu una gharama lakin hatutajiwi ni gharama zipi? Lakin leo inajadili bajet ya wizara ya habar,utamaduni na michezo ambayo c wizara ya mungano lakin kuna wabunge wa Znz zaid ya 50 wameshirik na wamelipwa kila mmoja laki3 je ii faida?
 
Tatizo la znz ni unafiki

Kinacho niuma ni wazanzibari wachache wanaotumia njaa kuikatrol akili yao badala ya ku2mia akili kuikantrol njaa yao, hawa ndo wanaotufanya wazanzibar sote 2onekana wapumbav,wanafiki,washenzi na kila aina ya ujinga.
 
Tutulieni jamani watatusoma tu hao watajua mlenda na urojo upi ulokazsna
 
Zanzibar ni mkoa kama mkoa wa Mtwara au Simiyu. Mkuu wa mkoa wao au kule wanamuita rais tunamteua sis huku Dodoma. Kuna nchi inayochaguliwa rais na nchi nyingine ?Marais aau wakuu wa mkoa wa zanz wakistaafu wanakuja kuishi kwa mabosi wao Dar. angalie. Jumbe.... Mwinyi...Salmin na sasa Karume. Hata huyu wa sasa anayo nyimba Boko. Kiongozi ajaye tumesha wachagulia ni HUSEIN HASSAN MWINYI.
 
Nimewasikiliza wakina mansour himidin, eddy riyami na vijana wanaochipukia sasa hivi..nimeona tofauti kubwa sana na vijana wa bara..
1. Kwanza znz hawana papara kwenye kuongea km mtu anajua kitu na anakiamini anaongea kwa utulivu na confidence ya hali ya juu..
2.ukiacha wale waliokuwa brainwashed na kuogopa kufukizwa na ccm dodoma, lkn wale watetezi wa zanzibar wanaujasiri sana(labda kwa sababu ya mapinduzi) na wanajua hasa wanachoongea
ukizikiliza maneno ya propaganda unaweza usiamini, ila kama mtu anaweza apite you tube..asearch kamati ya maridhiano ..ataona mijadala, na akina himid, abeid karume, mzee moyo nk walivyokuwa na ujasiri, point na kuongea ukweli..nafikiri hata ukawa hasa chadema walivyoenda zanzibar watakuwa na picha tofauti sana na watu wa znz
na znz kwenye hili la katiba wanajua nini wanachotaka na watakipata kwa gharama zipi..naona kama wana picha ya nchi yao miaka kumi ijayo wanataka iwe vp unlike tanganyika hatujui nini tunataka tunashika hili tunaacha mara lile mara hili papara sana..na znz ndo wanacontrol mchakato maana ndo wana turufu ya 2/3 ya kura za kwenye kamati...
 
hamna kitu hapo,mi mwenyewe mzanzibar ila siwapendi watu wanafki hasirani wazanzbr asilimia kubwa wanafki+mandumilakuwili
 
hamna kitu hapo,mi mwenyewe mzanzibar ila siwapendi watu wanafki hasirani wazanzbr asilimia kubwa wanafki+mandumilakuwili!wanaongea zenj wakija dom wanaufyata!
 
Hiyo 'nchi' ya zanzibar uwa naifananisha na sakata la ndg Michael Richard Wambura!
 
Ndugu zangu wazanzibar hata leo hii mkijitenga ugumu wa maisha utabaki palepale, hamuwaoni wachina pamoja na nchi yao kuwa ya pili kwakuwa na uchumi mkubwa duniani lakini bado wachina kibao wamezamia nchi za afrika kutafuta maisha, baadala ya kufanya kazi mko bize kulalamikia muungano.
 
Back
Top Bottom