King'amuzi chenye Peace Tv

King'amuzi chenye Peace Tv

naomba frequency kwenye azam

1.Rudia hatua ya kwanza na ya pili hapo juu.

2.Bofya satellite mpya. baada ya kubofya neno "satellite list"

3.Baada ya kubofya satellite mpya,upande wa kulia ndipo itahamia selector.

4.Bonyeza "add" kwa namna ileile ya rangi.

5.Utapata kibox chenye maneno transponder(TP),symbol rate(SR) na polarization(P).

6.Ingiza hizi frequency tano kwa kuanzia ambazo kwa pamoja zina 24 tv's and 5 radios stations.
A)12645 30000 H
B)10962 03255 H
C)11192 03210 H
D)12520 27500 H
E)12728 30000 H

Note kuwa namba hizi kwa A mpaka E zina mafungu matatu.Fungu la kwanza ni TP,la pili ni SR na herufi H ni polarization.Utajaza frequency ya kwanza (A) Kwenye hivyo vyumba,bonyesha Ok kusave.

7)Litarudi tena box la kuadd frequency.So utarudia zoezi hapo juu kwa kujaza B mpaka E.

8)Bonyeza exit
9)Bofya menu>search>autosearch>OK
10.Litatokea box la satellite ya zamani.Bofya right arrow itakuja satellite mpya.OK tena.Hapo itaanza kusearch na ikimaliza itarudi yenyewe kwenye chanel ya matangazo.

Kuangalia chaneli zako mpya click Ok then left arrow.Hapo zitakuwepo radio.Bonyeza tena left arrow utaziona Tv channels mpya(other chanels).

Pongezi Kwa - Mnyakatari
 
Utafurahi zaidi chanel zote urdu peace na englishpeace basi usijekere jiunge na ctv cable televition na utaniambia kwanza haigandi
 
Kaka kwanza mimi nikushukuru sana kwa msaada wako, mimi kwa upande wangu nimefata hatua zote ulizoziweka. nimefanikiwa na chanel baadhi zimeingia badala ya 24 nimepata 14 ingawa peace tv haimo. je nifanyeje sasa ili niipate peace tv. Mikidadi Kipande, Nipo Kigoma.
 
Kaka kwanza mimi nikushukuru sana kwa msaada wako, mimi kwa upande wangu nimefata hatua zote ulizoziweka. nimefanikiwa na chanel baadhi zimeingia badala ya 24 nimepata 14 ingawa peace tv haimo. je nifanyeje sasa ili niipate peace tv. Mikidadi Kipande, Nipo Kigoma.

Kama una Empg4 dekoda ungeipata mm sio mpenzi ila naipata hiyo kwa dekoda ya azam kwa sasa haifungui
 
Back
Top Bottom