Recent content by Street 15

  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Karagwe - Septemba 22, 2015

    Taratibu tuu dawa itawaingia,Ikulu sio Mwihimbili pale...!!!
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Karagwe - Septemba 22, 2015

    Mwambieni Mamvi wenu apige hata Pushapu mbili kama hamjarudisha Monduli akiwa kafa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hadi Fid Q? Nimebaki kuduwaa

    Mleta mada Kilaza tuu ujitambui unachoOngea... Nani kakwambia Ukawa ndio watakuletea mabadiliko katika maisha yako? Jipange mwenyewe Kilaza mabadiliko yanaaza na wewe mwenyewe.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sumaye: CCM kama kuna hirizi zenu Ikulu, mzitoe mapema

    Mwisho wake tarehe 28 Oct.. Hatosikika tena uyo Mess wenu!!!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Batuli wa Bongo movie ananitesa sana

    Mimi nakimbia TATIZO,Wewe mkuu unatafuta TATIZO duh!!! Uvumilivu unao lakini???
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Richmond ni ya Rais Kikwete

    Round hii tutasikia mengi sana.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kafulila aishambulia ACT-Wazalendo Kasulu; asema Machali ana tatizo kichwani

    Yanii kwa Walivyojichokea na sera za kipuuzi za huyu mpuuzi Kapulila.. Wamejishika tama maana hawamuelewi anachokizungumza. Ukawa mshajifia subirini kuzikwa tuu October.
  8. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msijidanganye, Dr. Slaa hayuko peke yake

    Enyi wafwata upepo kesho mtakosa muelekeo.. Lowasa hawezi leta mageuzi,kama vilaza wengi mnavyoamini.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

    Uyo mbona bazoka watu wanatafuna tuu akiisha utamu wanamtema. (Uchaguzi ukiisha hana jipya town)
  10. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/UKAWA kuzindua kampeni tarehe 29 Agosti, 2015 Jangwani

    WasioJitambua ndio watakao kwenda kumshangaa FISADI
  11. S

    JamiiForums Tanzania Chemistry ya wanawake inanichanganya sana jamani

    Mkuu mwanamke akisema No means Maybe, akisema Maybe means Yes, akisema Yes means Dangerous. Ilibidi usome harama za nyakati.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

    Mpe tuu iyo nyapu aichape. Kwani cha mtu huliwa na mtu,chuma huliwa na kutu... Mpe tuu game.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Anachoringia Serena Williams Ni Zaidi Ya Tennis!

    Kila mtu na Shughuri zake mkuu,pita kimya kimya tuu..!!!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Anachoringia Serena Williams Ni Zaidi Ya Tennis!

    Kazi yake Mwenyenzi Mungu iyo haina makosa..
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa wasema hawakubaliani na Uamuzi wa Kamati Kuu(CC)

    Ukiona Manyoya ujue Kaishaliwa.
Back
Top Bottom