Recent content by Strategist7

  1. S

    Wanawake wamekuwa sehemu ya hamasa ya maisha kwangu

    Chai kawanywesha na mmeibugia. Kufurahia jinsia kinzani ndo kitu gani sasa.
  2. S

    Ammwagia tindikali mchepuko wake kisa kaachwa

    Chanzo cha tatizo huwa ni kutokuelewana malengo. Ni asili yetu wanaume kujitoa kusaidia/kuwatunza tuwapendao. Shida inakuja pale unakuta unayejitolea kwake kiasi hicho hajui, hapendi, hatambui, au hathamini unachomfanyia halafu na wewe mwanaume unayejitolea kufanya hayo yote hujui hilo...
  3. S

    Wanaoshangaa nchi za kiarabu kuungana na Marekani dhidi ya Iran hawajui historia

    Hahaha. Kwahiyo huna huruma na Iran kwasababu unaamini Uislamu wa wa Wairani siyo Uislamu wa kweli. Ubaguzi na imani kali za kijinga ndo chanzo cha migawanyiko yenu.
  4. S

    Nje ya Wakatoliki, Gwajima ndiye askofu namba moja Heavyweight anayeweza kuongoza kikosi cha mashambulizi ukawa na uhakika wa ushindi

    Personality na imani ndo vinambeba Gwajima. Kuhusu kutumiwa na makundi yenye nguvu serikalini pia naamini.
  5. S

    Napitia kipindi kigumu sana, naomba msaada wenu wana JamiiForums

    Hakika hayuko well huyu mwenzetu. Nyuzi nyingi za Visa mbali mbali zote zinamuhusu yeye.
  6. S

    Mnatuambia tusioe wakati nyie mmo kwenye ndoa, mnamaanisha nini?

    Duh, afadhali wewe umeelewa mkuu. Yaani hivi vitoto vinadhani ndoa ikiingia mgogoro wanandoa wanaweza kutoka tu kwenye ndoa ndani ya dakika moja tu.
  7. S

    Utani lakini kuna kaukweli: Usipomkula vizuri, lazima akuue

    Si mnasemaga kufika kileleni hamfiki kwa kushindiliwa tu mpaka kuvunjwa viuno kwamba mnafika hata mkiguswaguswa tu ili mradi mlipiwe madeni yenu ya vikoba na kuambiwa maneno matamu? Hebu nyoosheni maelezo basi?
  8. S

    Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

    Unaweza kuruka majivu ukakanyaga moto. Unaweza kuachana na mtu kwasababu kakunasa kibao ukaenda kuolewa na atakaye kupiga risasi na kukuua papo hapo kama siyo kukuachia kilema cha maisha. I mean you don't necessarily know that your life outcomes are a result of your principles/non-negotiables...
  9. S

    Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

    Sina tatizo na mtu kuwa na misimamo. Nakumbusha tu kwamba kuwa na misimamo haimaanishi upo sahihi. Your non-negotiables may as well just be misguided, and may lead to worse life outcomes for you.
  10. S

    Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

    Physical abuse is an extreme example. Tuitoe kwenye mjadala. Japo hata physical abuse haimaanishi lazima uachane. It depends. Mke wangu akinirushia glass ya wine kwasababu kalewa simuachi. Nitamshauri tu aache pombe. Ila naweza kumuacha akigoma kutibiwa uraibu wa pombe. You see? Relationships...
  11. S

    Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

    Ila lazima ushirikiane na wengine ili mambo yako yaende. Na ili upate ushirikiano wa wengine lazima angalau uigize unawaamini.
  12. S

    Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

    Umeongea kitu cha maana sana. It goes both ways. Aaah wapi. Unakaa upande mmoja sana. Some people change. Halafu hiyo dhana yako ya "non-negotiables" ina uwalakini. Mahusiano yanahusisha compromise kwa sehemu kubwa.
Back
Top Bottom