Hata najua basi
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 1,638
- 3,186
Kosa sio kosa uzuri baba angu akilewa nasikia hua haoni vizuriAjali kaziniš
Kosa sio kosa uzuri baba angu akilewa nasikia hua haoni vizuriAjali kaziniš
Hanaga shida kabisa!Kosa sio kosa uzuri baba angu akilewa nasikia hua haoni vizuri
Au siošHanaga shida kabisa!
kivipi
kuishi na kufanya maisha pamoja nayo inahesabika kama kuoa?Kama akili zako hazifanyi kazi kwa usahihi au hupendi kuzitumia Sana kuoa sio chaguo sahihi.
Ndoa inahita Akili ili iwe yenye tija.
Anayekushauri usioe huku akijua unaakili zilizotimia ujue yeye hakuwa nazo au alishindwa kuzitumia kisawasawa.
Ni sawasawa mtu akuambie usifanye biashara kisa imemshinda yeye
Duh, afadhali wewe umeelewa mkuu. Yaani hivi vitoto vinadhani ndoa ikiingia mgogoro wanandoa wanaweza kutoka tu kwenye ndoa ndani ya dakika moja tu.Unafikiri kuvunja ndoa ni rahisi?
Kuna watoto na mali za pamoja..!!
Wewe sikiliza ushauri, Kama umeyavulia nguo agana na nyonga. Ila usije kusema hukuambiwa..!!
kuishi na kufanya maisha pamoja nayo inahesabika kama kuoa?
nilikua nataka kupata tafsiri sahihi, kama ni hivyo sahihiUnataka kusemaje?
Hiya ndio tafsiri halisi ya kuoa.
No religion
No government
Kuoa ni Makubaliano ya mwanamke na mwanaume kuishi pamoja kama mume na mke. Full stop.
Kuoa ni Jambo la asili. Halitegemei Dini wala serikali
Lakini sio Tzkuna ndoa zinafungwa na pande zote hazithamini wala kutambua "mahari" mambo ya utandawazi zaidi
Kwahiyo mimi sitakiwi kulea watoto nisiowazaa?? š¹š¹Watoto wanatakiwa kulelewa na wazazi wote wawili, unless kuwe na sababu ya msimgi sana. Malezi ya shangazi/mamdogo au mjomba/bamdogo ambaye yupo single na busy na maisha yake wote tunayajua.
Tusitetee ujinga Lamomy, malezi ya watoto ni magumu kuliko hata kuwatafuta hao watoto, watoto hawalelewi kwa remote, uwepo wa kila siku unatakiwa tena sio wa mzazi mmoja maana balance inatakiwa.
Ila kwa vile kizazi cha nyoka kinataka "easy-go" lazima msimame hapo, mnataka kuzaa na kila mwanaume so lazima muone ndoa sio kitu cha msingi.
inaenda kufa pia mdogomdogoLakini sio Tz