Ni sahihi kwa Mwanaume kwenda kulala ukweni?

Ni sahihi kwa Mwanaume kwenda kulala ukweni?

Wakuu

Katika jamii nyingi za Kiafrika, hasa katika mila na desturi za Kiswahili, kuna maadili yanayoongoza mahusiano kati ya mwanaume, mke na familia ya mke.

Wapo baadhi ya watu wanaona kuwa si sahihi kwa mwanaume kulala ukweni na wengine wanaona hakuna shida yoyote.

Tuzungumze kidogo kama ni sahihi kwa Mwanaume kwenda kulala ukweni
Hakuna shida tatizo lipo kwenye mitazo ya wengine kama utakuwa mtu wa kujali watu wanasema nini
 
Kulala ni kawaida. Mfano mimi nikienda kusalimu kijijini, hupanga ratiba: usiku mmoja lazima nilale kwa wakwe. Hii ratiba hufahamika angalau miezi miwili kabla ya safari. Huu ni mwaka wa 15….ipo hivyo na itaendelea hivyo.
Hilo jambo halina shida yoyote.

Labda kama kuishi ama kukaribishwa kujenga kiwanja cha ukweni ili uishi na mkeo ndipo penye changamoto kwa mila zetu za Kiafrika.
 
Kutiana ni sehemu ya ndoa na kwakuwa mmehalalishwa kutiana ni wajibu,hivyo kutiana ukweni ni muhimu na kuna ladha fulani ambayo mnapotiana ukweni unaipata na hata maongezi yenu wakati mnatiana yata akisi ukweli kwamba mnanyanduana ukweni,na hasa wewe mwanaume lugha yako wakati tendo linaendelea ni kumkumbusha mwenzio kuwa unamnyandua ukweni,naye mweza wako anakuitikia nyandua baba nyandua,maana hatacwazazi wangu wanajua saa hizi unaninyandua
Aisee 😂🤣🙌🙌imeshindikana hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom