Recent content by STRAGGLE MAN

  1. STRAGGLE MAN

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu mbalimbali za kuwadhibiti nyoka wanaoingia majumbani mwetu

    Pilipili hoho au zile fupi fupi za kijani na nyekundu zinazowasha sana but unapochoma usikae ndani coz ni kama zaidi ya dawa ya mbu inapalia sana
  2. STRAGGLE MAN

    JamiiForums Tanzania Mambo yameiva sasa Trump-Kim Summit huko Singapore

    Tim kiduku
  3. STRAGGLE MAN

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wabunge wapo kwa ajili ya kukamilisha akidi bungeni

    Wazee wa ndio
  4. STRAGGLE MAN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I am looking for friends

    Wanakuja soon
  5. STRAGGLE MAN

    JamiiForums Tanzania VP Samia Suluhu: Serikali ipo tayari kukosolewa na madhehebu

    Munatafta sababu ya kuwafilisi watu na kuwaita magaidi??
  6. STRAGGLE MAN

    JamiiForums Tanzania Sauti Kubwa: Ndugai akuza deni la matibabu nje ya nchi adaiwa kulamba milioni 500 ndani ya miezi mitano

    Eeeeeee kila mbuzi ale kutokana na urefu wa kamba yake, maana sisi ndio wajinga, mpaka pale mabichwa yetu yatakapotoka uzombi, mtani kukavuuu, watu wanapiga MABILIONI ya hela, ikifika uchguzi vaa dira la kijani au T-shirt ya kijani upumbazike
  7. STRAGGLE MAN

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mkutano wa G7 Kanada:Trump Atofautiana Na Washirika Wake

    Mnafik atajulikana tu
  8. STRAGGLE MAN

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu mbalimbali za kuwadhibiti nyoka wanaoingia majumbani mwetu

    Pilipili inafukuza nyoka na wadudu wengi tu wa atari.
  9. STRAGGLE MAN

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu mbalimbali za kuwadhibiti nyoka wanaoingia majumbani mwetu

    Ukichoma pilipili wote watakimbia
  10. STRAGGLE MAN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kumuacha sababu siwezi kuingia gharama za kumsomeshea mwanae wakati babaake anadunda mtaani

    Kuna single mother wawili wanataka ndoa na mm kwa nguvu, yaani wao akili yao ni kufunga ndoa nao, ila roho inanisuta kwa kweli maana baba za hao watoto wakiamua muda wowote wanakuja kula kiporo
  11. STRAGGLE MAN

    JamiiForums Tanzania INAUZWA The best world perfume

    Bigup
  12. STRAGGLE MAN

    JamiiForums Tanzania Trump Ataka Urusi Irejeshwe G8

    Hawawezi kuishi bila ya urusi, wamesahau kuwa Ukraine [emoji1255] ilikuwa Russia [emoji635]
  13. STRAGGLE MAN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hanitaki

    KAZA ROHO MEZA FUPA, muache alaf kaowe mwengine maisha yaendelee
  14. STRAGGLE MAN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapiga punyeto wote ni madomo zege

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom