Watu mnamlaumu mama.Kama hao watu wahind na baba wangekuwa na nia njema kwa pamoja wangechukua muda kukaa na mama kumuelemisha faida zote za hiyo issue.Lakn pia hata huko kwenye taasisi za serikal mama angeitwa kuelimishwa.Lakn hiki walichofanya sio kitu kizur.
Kala tamu ya baba K.daa jamaa hovyo sana !! Hebu mjamzito na mtoto wapimwe km kuna maambukizi yoyote.Mana huko bar alikotoka nako ukute huwa anachukua UTI sugu.
Kwa secondary ziachwe bweni .Kwasababu ni vizur mtoto akifika umri wa miaka 14 akakae bwen angalau aanze kujifunza maisha ya kujitegemea!!tukikaa nao sana nyumban tutaendelea kuzalisha marioo wengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.