sasa debate inasaidia nini?wewe unafikiri ni wakenya wangapi wana TV za kuangalia debate na hata kama wana TV unafikiri wangapi wanajua kiingereza Lugha inayotumiwa hapo?
Acha ulimbukeni hiyo haiwasaidii kitu zaidi ya yote wanauza sura tuu na wanamuiga Obama
Njaa ndio inamfanya awe alivyo ila kiukweli ana akili za kutosha ndio maana ndani ya chama chake yeye ndio kinara wa kusema kwa sababu anawazidi wote,ila zingatia kuwa Nape sio mtoto wa Mzee Nnauye na kwa vyovyote ana mzigo wa kulisha tumbo lake na la watoto na wake wa baba yake mlezi maana baba...
Riz One ni kilaza na hawezi kujibu chochote kwani kama sio Beno Malisa kumsaidia pale UDSM asingemaliza na hata sasa anamtegemea sana Beno kumuandikia barua za kiingereza hata nje ya nchi anakwenda na Beno na ndie msemaji wake yeye anajua hi na how r u too mengine Beno ndio anajibu ,Bila Beno...
Mimi nilisoma na Nape alikuwa na akili sana na alifaulu vizuri sio kwa viwango vya A 9 kama Mnyika ila sio mbulula kama Mulugo wala sina wasiwasi na hilo,namsubiri aje kusema mwenyewe ila asipojibu naweza kuwasaidia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.