King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
Na kweli. In the end of the day, hao wabibi wana hatari ya kuambukizwa zaidi kuliko vijana. Ukiangalia hiv parasitemia ya sub saharan africa ukilinganisha na walikotoka. Kuwatishia ukimwi hao vijana wanaojiuza haisaidii.
well said, nadhani jamaa hamaanishi kucheki kama vijana wanatumia ndom', nadhani hao wanaokuja from abroad nao wanahitaji kuwa makini otherwise wataukwaa sana tu
Kinachotakiwa ni koformalize tu in kuwe na regulations za safety, tax, na hospitality improvement
otherwise itakua kama biashara ya bange tu