Mbatia akabidhiwa Mitaala FEKI

Mbatia akabidhiwa Mitaala FEKI

Nchi hakuna hapa,ujinga mtupu.hv maDR na PROF huko bungeni hawajui mtaala au mitaala ni nn? Prof kahigi sema neno moja tu
 
Matatizo yetu yote ni udhaifu wa JK,iwe dini,elimu,gesi n.k ni yy,kwanini anakuwa laizer faire kiasi hiki? why this??
 
tatizo wizara ya elimu walishafanya mitaala kama biashara.. . kila waziri anakuja na yake..
wengine walikuwa hawajui hata ethics za elimu..
tusubiri mapinduz ya elimu.
 
Kuna member wa JF wa siku nyingi ameandika nakala kwenye Raia Mwema. May inaweza kusaidia kidogo kujua nini maana ya mitaala na wapi wanasiasa walikosea. Tuipitie nakala yake kwenye Raia Mwema - Je, Tanzania tuna mtaala wa elimu?. ili tupate ufahamu zaidi. Baada ya hapo turudi kwenye mada.
 
Watu wachache kama Communist ndio wanaojua wanachoongea. Hili suala sio dogo kama akili za baadhi ya watu hapa zinavyotusukuma tuamini. Hili ni suala la kufa na kupona kwa uhai wa Elimu ya Tanzania. Tuwe makini sana !

Nimeshiriki kuandaa mitaa mingi, siami hivi tuvijatabu tunaweza kuwa mitaala ya chekechea mpaka form six, haswa kwa CEBET system. Hataaaaaa. Kitabu hicho kimoja kinaweza kuwa mtaala wa chekechea, na cha pili labda kwa darasa la kwanza. Nahisi tunachanganya kati ya Curriculum na Syllabus. Watanzania tuwe makini na hili suala.

Situation analysis (though this may a separate document)
Principal learning out come

Sub enabling outcome
Related tasks
Assessment methods
Assessment instrument
Bench-marking of assessment criteria
Assessment criteria
Marks distribution
Description of courses
Reference materials

I find it hard to have less than forty pages for each class
Kama mnataka kuona mfano nendeni VETA au NACTE, mtaikuta. Na hifichwi kabatini, inatakiwa itumike na walimu na wakaguzi
Ohhh my Gog bless this country.
 
Wa hapahapa, waziri na watendaji wa elimu wamekurupushwa usingizini - hawajui hata ilipo hiyo mitaala acha suala la kwamba hiyo mitaala inasema nini. Wamekalia kusoma magazeti wizarani na hawafanyi kazi .

tatizo wizara ya elimu walishafanya mitaala kama biashara.. . kila waziri anakuja na yake..
wengine walikuwa hawajui hata ethics za elimu..
tusubiri mapinduz ya elimu.
 
Hii nchi kila kitu ni Feki! Ndege ya Raisi Feki! Rada Feki!Mitaala Feki!Madaam Spika Feki! Raisi wa nchi naye........... AAH mimi nachoka sana!

Tanzania yenyewe feki"maana muungano feki"
 
Una hakika ni feki au Ushabiki tuuuu??????

Wanaojua wamekwambia ni feki na unamapungufu kibao wewe unang'ang'ania mambo ya ushabiki. Hapo ulipo mwenyewe huna uhakika kama sio feki.
 
Hivi huyu spiker wa bunge ana watoto/mtoto?Hivi kwanini wabunge wa Ccm wanapenda kuona Taifa linaangamia?Hivi watanzania wamewakosea nini mpaka watuburuze kwa kiwango hiki?Lakini naamini siku inakuja mtakapo weka sawa akili kwa kushuhudia mkienda mahakamani kwenye machela kama Hosn Mubaraka..Huna hata aibu wewe Spiker.
Hana mume
 
Nimeshiriki kuandaa mitaa mingi, siami hivi tuvijatabu tunaweza kuwa mitaala ya chekechea mpaka form six, haswa kwa CEBET system. Hataaaaaa. Kitabu hicho kimoja kinaweza kuwa mtaala wa chekechea, na cha pili labda kwa darasa la kwanza. Nahisi tunachanganya kati ya Curriculum na Syllabus. Watanzania tuwe makini na hili suala.

Situation analysis (though this may a separate document)
Principal learning out come

Sub enabling outcome
Related tasks
Assessment methods
Assessment instrument
Bench-marking of assessment criteria
Assessment criteria
Marks distribution
Description of courses
Reference materials

I find it hard to have less than forty pages for each class
Kama mnataka kuona mfano nendeni VETA au NACTE, mtaikuta. Na hifichwi kabatini, inatakiwa itumike na walimu na wakaguzi
Ohhh my Gog bless this country.
Wakati kwa wenzetu SIASA hutumika kuamua mustakabali wa nchi na watu wake, kwa Watanzania, siasa hutumika kuvuruga mstakabali wa nchi na watu wake. Ni aibu na fedheha kubwa sana.

Taifa la Vilaza hili Wizara nyeti kama ile huwezi kumuweka waziri Kihiyo ambaye ni REJECT hajui hata Tanzania ni nini? Majuha hawaishi nchi hii.... Picha linaendelea..... tusubiri mengine.....
 
Hivi huyu spiker wa bunge ana watoto/mtoto?Hivi kwanini wabunge wa Ccm wanapenda kuona Taifa linaangamia?Hivi watanzania wamewakosea nini mpaka watuburuze kwa kiwango hiki?Lakini naamini siku inakuja mtakapo weka sawa akili kwa kushuhudia mkienda mahakamani kwenye machela kama Hosn Mubaraka..Huna hata aibu wewe Spiker.

Wenzio hawa wanakipenda chama chao zaidi kuliko Tanzania, kwao ni bora hata nchi iwe na vita, njaa, magonjwa ujinga hata na chochote kibaya kwa nchi lakini tu wao wawe madarakani, sometimes huwa nafikiria huenda hua hata wao wanashangaaga kwanini wana shinda chafuzi za kura!
 
Hii nchi kila kitu ni Feki! Ndege ya Raisi Feki! Rada Feki!Mitaala Feki!Madaam Spika Feki! Raisi wa nchi naye........... AAH mimi nachoka sana!

Feki....
 
Nimeshiriki kuandaa mitaa mingi, siami hivi tuvijatabu tunaweza kuwa mitaala ya chekechea mpaka form six, haswa kwa CEBET system. Hataaaaaa. Kitabu hicho kimoja kinaweza kuwa mtaala wa chekechea, na cha pili labda kwa darasa la kwanza. Nahisi tunachanganya kati ya Curriculum na Syllabus. Watanzania tuwe makini na hili suala.

Situation analysis (though this may a separate document)
Principal learning out come

Sub enabling outcome
Related tasks
Assessment methods
Assessment instrument
Bench-marking of assessment criteria
Assessment criteria
Marks distribution
Description of courses
Reference materials

I find it hard to have less than forty pages for each class
Kama mnataka kuona mfano nendeni VETA au NACTE, mtaikuta. Na hifichwi kabatini, inatakiwa itumike na walimu na wakaguzi
Ohhh my Gog bless this country.

Huu ni uongo wa mchana! Ni aibu kwa serikali ya kisanii, mtaala inakuwa secret document since when!
 
Hivi huyu spiker wa bunge ana watoto/mtoto?Hivi kwanini wabunge wa Ccm wanapenda kuona Taifa linaangamia?Hivi watanzania wamewakosea nini mpaka watuburuze kwa kiwango hiki?Lakini naamini siku inakuja mtakapo weka sawa akili kwa kushuhudia mkienda mahakamani kwenye machela kama Hosn Mubaraka..Huna hata aibu wewe Spiker.[/QU
Ungeanza kuuliza kwanza,hivi ana mume?
 
Hata kama ana watoto unafikiri wanasoma hapa??hapa wanasoma watoto wetu walala hoi tusio na hela za kuwapeleka Ulaya na Amerca ndio maana MACCM wengi wanaitetea serikali ili iendelee kututesa na watoto wetu waendelee kuwa mambumbumbu wawatawale leo na kesho tukiwa hatupo
 
Back
Top Bottom