WanaJF napata tafasiri nyingi kuhusu ni lini mama mjamzito anatakiwa asiwe karibu kimapenzi (kujamiiana) na mumewe kwa ajili ya kutunza kiumbe vizuri pia kuepuka matatizo eidha kwa mama au kwa mtoto.
Naweka uzi huu kuondoa utata kwenye matatizo na changamoto ambazo anaweza zipata mama au mtoto...
Wakuu nina millioni tano sijapata bado mladi ambao nitawekeza kwa kiwango hicho cha fedha nipo shinyanga nikafikiria wazo la kuitu za kwenye taasisi za kifedha hadi nitakapopata wazo la biashara nzur. Sasa changamoto ikaja ni taasisi ipi ipi ina mzingira mazur ya uwekaji huo wa fedha...
Watu wa it naomba msaada wa kudownload movie mpya na zaman za kizungu nimejaribu sana kutafuta utorrent lkn nakosa link ambayo itanisaidia kuona movies ambazo ni free alafu nimetumia the piratebay bado sijafanikiwa natafuta movie ya the foreigner
Mimi nipo shinyanga kwa sasa lakin bado sijaona fursa nilikua kahama kwa kahama naweza sema watu wa pale wanalima mpungunga wanalisha baadhi ya wilaya jiran pia kuna kilimo cha dengu maeneo ya msalala na kishapu hizo ni halmashauri jiran na kwa sababu magari mengi ya kwenda congo, rwanda kigali...
Nataka kuanzisha Ofisi ya kutoa Huduma za kifedha kama za banki, MTU apate Huduma zote za kibenki mpesa, dstv , luku, na zingine naomba ushauri kuhusu gharama na vitu gani Vya msingi vinatakiwa na pia ushauri jinsi ya kupata vibali
Kama umeweza kutambua hayo, wewe ni mtu mzima unajitambua, angalia mambo ya muhimu yaliyozungumziwa utoe mawazo yako kiongoz hali ya maisha ya mtanzania inaelekea kubaya. Tumia jicho la tatu kuamgalia tunapo elekea.
inawezekana maana bunge tayar limesha toa ushauri wenye maazimio 8 bado yeye kukubar ushauri au kukataa. lkn tumpe mda isije ikawa kama kwenye EPA hadi leo sijui kama wahusika waliwajibishwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.