Magereza wameita kwenye usaili

Magereza wameita kwenye usaili

Habar mdau mleta uzi, mi naona majina hayajakamilika yapo 20 tu katka orodha, nifanyeje?
 
hako kanyomi sasa hapo Ukonga, sidhani kama grup ya kwanza watamaliza oral leo
 
naomba direction kutoka ubungo kwenda hapo bwalo la gereza la ukonga

Panda daladala za Gongo la Mboto hapo Ubungo, utashukia kituo kinaitwa magereza ni karibu na getini kabisa mwa gereza la Ukonga. Ingia pale uliza kwa afande or utawaona wenzio kibao wanaelekea ukumbini.
 
vipi watu walikuwa wengi sana kama Kule TRA???
 
Back
Top Bottom