Recent content by Stockman

  1. Stockman

    Ni sahihi kuoa mwanamke ambaye tayari ana mtoto wa mwanaume mwengine?

    Habari wanajamii. Natumai mnaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kusheherekea sikukuu ya x-mas. Naomba niweke mada yangu jukwaani. Je ni sahihi kuoa mwanamke ambaye tayari alishazaa na mwanaume mwengine?
  2. Stockman

    Kwanini wanawake mnapenda wanaume wenye ushawishi, pesa na magari?

    Nina rafiki yangu kazini aliwahi kunipa tathmini baada ya research yake ndogo tu. Aliniambia “mdogo wangu unajua sisi waenda kwa miguu tunatumia gharama nyingi sana mpaka ufanikiwe kumshawishi mwanamke na kumnasa mtegoni. Akasema tazama watu wenye magari, huwa hawatumii nguvu hata kidogo...
  3. Stockman

    Vijana wa Arusha kama Black America

    Kwani vijana wa arusha wenyewe wanatokeaje kwenye picha..?????? Nikiwa kama mmoja wa matomaso naomba utuoneshe japo picha kadhaa za wamarekani weusi waishio arusha,
  4. Stockman

    Kwanini wanawake wengi hawana huruma?

    Ifike wakati JF wawe na jukwaa maalum la watoto wadogo kusudi nao wapate kupost mada zao. “Hivi yule mwenzetu aliyechomwa moto ndani ya nyumba akapoteza uhai atasemaje huko alipo muda huu kama hujui maana ya kutendewa ukatili”
  5. Stockman

    Nimevunja mahusiano hivi punde

    Pole sana ndugu. Binafsi ni muhanga wa hilo pia. Ni bora upitie maumivu makali ya muda mfupi kuliko kuja kukosa furaha ya muda mrefu. Yatapita hayo na utakaa sawa.
  6. Stockman

    Naombeni ushauri nimemfumania shemeji yangu

    Najua upo kwenye mtihani mkubwa mno ndugu yangu. Linapokuja suala la kujihusisha na mahusiano ya watu huwa jambo zito sana. Nakumbuka miaka mitatu iliyopita nilirudi nyumbani kutoka kwenye pirika zangu ikiwa yapata majira ya saa nne usiku. Bahati mbaya sikutoka na funguo ya geti hivyo...
  7. Stockman

    Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

    Nashukuru sana ndugu yangu kwa elimu nzuri uliyowasilisha jukwani kulingana na ushuhuda na uzoefu wako ulionao. Binafsi nimejifunza mambo mazuri kadhaa kutoka kwako leo hii. Sababu hata nami pia kwa namna moja au nyingine nimeshakuwa mhanga kwa vipindi tofauti hasa kuonyesha shukrani kwa jambo...
  8. Stockman

    Mpango uliovuruga mbwembwe za EX-Girlfriend

    Hapana, ila ina mtoto naye
  9. Stockman

    Mpango uliovuruga mbwembwe za EX-Girlfriend

    [emoji1479][emoji1479][emoji1479][emoji1431]
  10. Stockman

    Mpango uliovuruga mbwembwe za EX-Girlfriend

    Ndugu umenikumbusha miaka minne iliyopita nikiwa naishi maeneo ya mbezi beach pale makonde. Kuna binti alikuja kuishi kwa aunt yake baada ya kuhitimu masomo yake ya chuo kikuu. Baada ya kumuona na kujua alipokuwa akiishi nilianza kumfatilia kwa karibu kwa muda mrefu usiopungua miezi tisa hivi...
  11. Stockman

    Msaada kwa yeyote mwenye ufahamu wa mfumo wa injini ya gari

    Hapana. Ni gari ambalo lijaanza kulitumia. Niliagiza japan na alhamisi ndio nililitoa bandarini
  12. Stockman

    Msaada kwa yeyote mwenye ufahamu wa mfumo wa injini ya gari

    Asante sana kwa ushauri ndugu yangu. Jana nilienda kwa fundi wakaniwekea plug mpya lile tatizo likaanza kupungua mpk sasa naona gari limekaa vizuri
  13. Stockman

    Msaada kwa yeyote mwenye ufahamu wa mfumo wa injini ya gari

    Jana nilipobadilisha plug nikaona ile hali ya mtetemo umeanza kupungua. Plug tano zilikuwa zimepiga shoti. Asante sana kwa ushauri
Back
Top Bottom