Msaada kwa yeyote mwenye ufahamu wa mfumo wa injini ya gari

Stockman

Member
Sep 24, 2014
59
125
Gari langu linakuwa na mtetemo pale ninapokanyaga mafuta ili lianze kutembea kawaida hali hii hutokea pale gari linapokuwa kwenye speed ya 0 mpaka 20km. Naombeni ushauri ndugu zangu. Asanteni
 
secret file

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
2,864
2,000

Cheki plagi......
nadhani tatizo lipo hapo....
ita fundi akague plug
 
JituMirabaMinne

JF-Expert Member
May 4, 2020
646
1,000
Gari langu linakuwa na mtetemo pale ninapokanyaga mafuta ili lianze kutembea kawaida hali hii hutokea pale gari linapokuwa kwenye speed ya 0 mpaka 20km. Naombeni ushauri ndugu zangu. Asanteni

Kuna chochote ambacho mlishafanya?
 
secret file

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
2,864
2,000
Jana nilipobadilisha plug nikaona ile hali ya mtetemo umeanza kupungua. Plug tano zilikuwa zimepiga shoti. Asante sana kwa ushauri
Nimefurahi umeanza kufanikiwa but hakikisha unaweka plug zinazoendana na gari yako....
unamaliza tatizo
 
kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
746
1,000
Gari langu linakuwa na mtetemo pale ninapokanyaga mafuta ili lianze kutembea kawaida hali hii hutokea pale gari linapokuwa kwenye speed ya 0 mpaka 20km. Naombeni ushauri ndugu zangu. Asanteni
Nadhan itakua ni issue ya misfiring, kacheki plugs kama ziko sawa.

Kwani ni gari aina ipi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom