Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

Nyie ndio wale mnawaowaita wazungu mabeberu. Acha chuki za kupuuzi. Unasema wazungu walifanya babu zako watumwa?!! Babu zako gani???!!! Hujui hata Spain ambako pia kuna wazungu nao pia waliwahi kutawaliwa??!!! Mbona na wewe unawatumikisha watu kwa kigezo cha house girl na house boy hapo nyumbani kwako, je huo sio kufanya wenzio watumwa???!! Uwezo wako wa kufikiri na kuelewa mambo ni mdogo sana. Ni kama uwezo wa binti yangu tu hapa nyumbani. Yaani mtu kukupatia huduma bila makubaliano ya awali kwako unaona ni tatizo???!!! Mbona unapoenda kwa Mwajuma, anakuhudumia bila makubaliano then baada ya huduma unatoa pesa nyingi tu. Hilo kwako huoni shida. Unachukia wazungu na bado unatumia lugha yao kutafuta nafasi ya kutukuzwa. Unachukia watu ambao wanakupa internet, hata jinzi unayovaa ni kutoka kwao. Simu unayotumia ni yao, barabara unayotembeza gari yako imejengwa kwa msaada wao. Madawa unayotumia hospitali ni kwa msaada wao. Acha umasikini wa mawazo na ulimbukeni wa fikra.
Ngoja siku upewe huduma ya kuzibuliwa mtaro bila majadiliano wala maelewano then rudi hapa uhadithie tena, sawa eeh.., tena umpigie na saluti kabisa..., mtumwa mkubwa wewe
 
Mkuu, mbona wazungu ni wengi wanaendesha gari za kawaida. kuna mzungu ana drive subaru yupo kenya na ana pesa. Hapa jirani yangu kuna wazungu wanapanda boda boda. Na wengine wana NOAH.

Ukimsoma mleta mada vizuri utamuelewa
Hazungumzii (toleo)brand ya Gari,anazungumzia(type) aina ya Gari...Ni kweli Ni nadra Sana mzungu aendeshe salon cars in Africa Tena ya kijapan
 
Nimemuelewa vizuri sana mkuu, ndio maana nikampa mifano hiyo. Mfano subaru ni salon na kuna wazungu wanaendesha
 
Sijui hata niseme vipi?!.

Kwa lugha nyepesi tu naweza kusema wenzetu WAZUNGU wameumbwa tofauti kabisa na sisi (ngozi nyeusi) WAAFRIKA. Sitaki kutumia maneno yanayoweza kufanya nikufuru, lakini ninachoweza kusema ni kwamba Mwenyezi Mungu aliwaumba wazungu kwa namna ya pekee sana. Kusema hivi wala sio utumwa kama wengine mnavyoweza kudhani, bali ni ile hali ya kukubali (appreciating) jamii ya watu fulani pasi na kujali dini zao, rangi zao, wala asili zao. Kukubali katika jambo jema na zuri ni busara zaidi kuliko kukataa tu hata kama ni jambo jema na lina manufaa.

Ninapozungumzia wazungu simaanishi ngozi nyeupe, hapana. Sizungumzii waraabu, sizungumzii wachina, wala sizungumzii wahindi. Nazungumzia WAZUNGU, watu wenye asili ya kutoka bara la Ulaya wenye rangi nyeupe (the white people).

Kuna Kijana anafanya kazi ya kufuta vioo vya magari katika makutano ya barabara ya kutoka Tegeta kuja Mwenge. Ni pale kwenye taa za barabarani (trafic light). Gari zinapo simama tu kwenye foleni kijana huyu humwaga povu la sabuni kwenye kioo cha mbele, kisha hutumia kifaa chake maalumu kufuta lile povu ili kuondoa vumbi. Kazi hii huifanya kwa uharaka sana na kwa ustadi wa hali ya juu. Ndani ya dakika moja na sekunde kadhaa atamwaga povu, atasafisha kioo, kisha atafuta povu na kuacha kioo cha gari yako kikiwa kisafi.

Kazi hii imekuwa ikifanywa na vijana wengi katika miji mbali mbali hapa barani Afrika.

Akishafanya hiyo kazi, wewe dereva unampatia kipande kidogo cha pesa. Kiasi cha pesa cha kumpa unapanga wewe mwenyewe. Wengi waliopata huduma ya kijana huyu walikausha kimya bila kulipia chochote na wala haikuwa kesi. Na wapo baadhi yao (wachache) walilipia shilingi 100 hadi 200 hivi.

Kuna gari aina ya CROWN iliyokuwa ikiendeshwa na Mzungu. Alionekana kama sio raia wa Uingereza basi atakuwa anatokea Wiles au maeneo ya jamii hiyo.

Kijana ni kama alijua vile. Na inaonyesha ana uzoefu wa kutosha wa malipo ya wateja anao wahudumia. Alisafisha kioo cha ile gari chap chap, kisha akasogea dirishani kwa dereva ili apate ujira wake. Yule dereva Mzungu akatoa noti ya shilingi 10,000 na kumpatia yule dogo. Daaah! Dogo alimshukuru sana kana kwamba yule Mzungu alikuwa amemfanyia kitu kikubwa sana kwenye maisha yake.

Taa ziliporuhusu ile gari ilipokuwa ikiondoka bado dogo aliendelea kumshukuru tena kwa kumpigia "saluti" yule Mzungu kuonyesha ame-appreciate kile alichofanya. Kama ilivyo utaratibu, yule Mzungu nae alijibu ile saluti ya dogo nae kwa kupiga Saluti.

Lilikuwa tukio la kipekee sana lililo onyesha namna sisi watu weusi (waafrika) na wenzetu wazungu tulivyo tofauti. Ni tukio lililompa yule kijana FARAJA NDANI YA MOYO. Mbali na kiasi cha pesa alicholipwa na yule Mzungu lakini kwa kijana aliona thamani ya kile anachofanya (kazi yake). Thamani ya kazi ya halali inayofanywa na mikono yake. Pengine kijana yule angekuwa mwizi au kibaka akikwapua mali za watu kwenye yale makutano ya ile barabara, leo hii thamani ya kazi yake asingeiona. Na zaidi ya yote angekuwa adui mkubwa mbele ya jamii na hasa watumiaji wa ile barabara.

Ni kawaida kwa wenzetu wazungu ku-appreciate kazi ya mtu pasi na kujali ni kazi ya aina gani. Ikiwa ni kazi ya halali na unaifanya kwa ustadi basi ataiheshimu kazi yako katika kiwango kinacho stahili. Hii ni tofauti kabisa na sisi Wafrika.

Sisi waafrika ni watu ajabu sana. Mtu unafanya kazi ngumu, nzito tena inayo "RISK" maisha yako, inapofika wakati wa kukulipa anakulipa isivyostahili. Na pengine asikulipe kabisa, au akakudhulumu kwa kukulipa kidogo tofauti na ilivyopaswa. Kama huamini, mtazame Meneja au Muhasibu hapo ofisini kwako. Amepewa mamlaka ya kuwalipa mishahara yenu. Lakini swali ni Je, anawalipa kwa wakati? Na je, ikifika wakati wa malipo anawalipa tu, au anasubiri hadi usingizie mtoto au mke/mume kuugua ndio aidhinishe malipo yako?

Kwakuwa yupo kwenye mamlaka ya kukulipa basi atakulipa atakavyo yeye.

Nadhani hapo utakuwa umenielewa vizuri kile ninacho maanisha. Akiwa Muhasibu au Bosi anaye idhinisha malipo yenu kuna wakati atasubiri hadi ifike tarehe 38 ndio awalipe malipo yenu. Hatari sana.

Naomba leo niwakumbushe kitu muhimu. Ni dhambi kubwa sana mbele ya dunia na mbele ya Mungu kudhulumu jasho la anaye pigana kwa haki. Jasho la mpiganaji daima huwa halipotei bure. Mungu wetu mlezi anasema "walipeni watumishi ujira wao kama vile inavyo stahili". Tambua kuwa athari za kuchelewesha mshahara wa mfanyakazi wako zinaumiza watu wengi sana. Kuchelewa kumlipa mfanyakazi wako kunaumiza watoto wake, mke/mume wake, wazazi wake, ndugu zake na hata jamaa zake. Anapochelewa kupata malipo yake hata Mangi dukani anakosa pesa, kwani pengine huyo ni mmoja katika wateja muhimu sana pale dukani.

Ndugu yangu, ikiwa umepewa dhamana ya kulipa ujira wa mtu anayemwaga jasho lake, basi mlipe katika wakati sahihi. Na ikiwa unadaiwa, basi lipa deni lako katika wakati mliokubalina.

Mwenyezi Mungu awabariki sana.

Na Hilal Kanal
0718022322
Dar es Salaam

View attachment 1858654
Yaani huna kazi ya kufanya kwa kuandika gazeti zima ndani yake utopolo mtupu mpaka umefikia kujidharau Uafrika wako!! Mbona mimi nishatoa zaidi ya pesa hizo?!!
 
hyo tabia ya kunimwagia mimaji michafu kwenye kioo uwa inanikera vibaya mno.Kiukweli sitak kabisa.
 
Dogo akafunga biashara akaenda kuvuta bangi na ponbe hela yote
 
Samahani aisee saa nyingine nakuta notifications zaidi za 150 kuu kama muda hauniruhusu inakuwa ngumu kuziona zote hivyo inabidi nitafute muda ambao wakati mwingine sina ili nizipitie zote.

Asee we jamaa mbona nakuita kwenye mauzi yetu umemute?
 
Nashukuru sana ndugu yangu kwa elimu nzuri uliyowasilisha jukwani kulingana na ushuhuda na uzoefu wako ulionao.

Binafsi nimejifunza mambo mazuri kadhaa kutoka kwako leo hii. Sababu hata nami pia kwa namna moja au nyingine nimeshakuwa mhanga kwa vipindi tofauti hasa kuonyesha shukrani kwa jambo unalotendewa. Inaweza ikawa huduma.

Kupitia pia uzoefu wangu nilionao katika maisha yangu ya kila siku hapa duniani, ni kweli ndugu zangu kidogo tunakuwa na roho za ubinafsi sana hasa katika kutoa aidha shukrani au motisha kwa wenzetu wanaotusadia. Ndio maana kuna mgawanyiko wa kazi, sababu hakuna mtu ambaye ana uwezo wa kufanya kila kitu peke yako. Ukiweza hiki mwenzako ataweza kile, hiki hukifahamu mwenzako anakifahamu. Ndio kusudi pekee la Mwenyezi Mungu watu kuishi kwa kusaidiana na kutegemeana haijalishi wewe ni mtu wa aina gani kulingana na mtizamo wako.

Kitu kingine cha kujifunza ni kuanza kuwajenga watoto wetu toka kwenye msingi, namna ya kukubali kazi ya mtu mwingine pia iendane sambamba na utoaji wa dhati unaougusa moyo. Mfano mdogo tu na wengi wenu mtakuwa mashaidi katika hili, “mara nyingi tulipokuwa watoto inapofika siku ya kushiriki nyumba za Ibada, ni kawaida sana kwa mzazi kumpatia mwanae vijisenti kwa ajili ya kwenda kumtolea Mwenyezi Mungu sadaka”, tabia ambayo inajijenga na kukua ndani ya mtoto kuwa vijisenti ndio hufaa kwa kumtolea Mwenyezi Mungu.

Tukirudi kwa wenzetu. Swala la utoaji huendana sambamba na kuguswa kutoka moyoni, na hiyo tabia hufundishwa tangu wanapokuwa watoto wadogo. Sisi wengi wetu mafunzo tunayoyapata ni ya kibinafsi binafsi tu kutoka kwa wengi wa wazazi/ walezi wetu. Mzazi/ mlezi atampatia mtoto chungwa then atamuambia maliza kula ndio urudi kucheza na wenzako, ufute na mdogo wasikuone. Hivyo unaweza kuona unalea mtoto wa aina gani.

Hivyo matendo mengi ya watu ya ajabu tunayokutana nayo kila siku ni dhahiri yanaweza kuwa na uhusiano wa matunda ya malezi aliyoyapata mtu tangu akiwa mdogo.

Tujifunze kukubali kazi za wenzetu sababu hata ungekuwa ni wewe ungetamani kutendewa wema.

Asanteni wadau.
 
Hapa Duniani hautakiwi kumdharau mtu, Mungu akikupa unafuu usiwaone wengine wazembe au wasiojituma, hata yule anayefanya kazi ya ovyo kumbuka nae ana watu wanamtegemea.

Kama alivyosema mtoa mada, japo kuwa wazungu wana madhambi ya kumchukiza Mungu na wanadamu ila tukiwaweke kwenye mizani na watu wa jamii nyingine ni ukweli usiopingika wao wana nafuu. Ukifanya kazi na mzungu kama ukifanya kwa usahihi na kwa uaminifu, hakika utalipwa vizuri na mchango wako kuthaminiwa ila kwa jamii nyingine kama wachina, waarabu, wahindi na wengineo ni shida si kidogo, ukiwahi sana kazini ni tatizo na ukichelewa ni shida sio kidogo.

kuna nguvu kubwa katika kutoa, hii ni siri ambayo watu wengi hawaitambui, unapomsaidia mhitaji kweli kiimani ina nguvu, pengine huyo mzungu alimpa hela huyo kijana sio kwa sababu ya huduma bali aliona njaa kali ambayo ilionekana waziwazi hadi usoni kwa kijana huyo. Ukiwa na uwezo wa kusaidia, wewe saidia bila kuona uchungu wa msaada uliotoa hakika Mungu asipokulipa wewe atakilipa kizazi chako.

Mwisho namalizia wazungu licha ya ufirauni wao ila wamestaarabika kuliko jamii nyingine husasani wakina sie, utasikia mtu anasema wazungu walitupeleka utumwani, swali langu ni wazungu gani walikuja kuwakamata watu weusi kama sio tulichuuzana wenyewe kwa wenyewe. Watu weusi sie tumejaa unafiki, ubinafsi, uzindaki uliopitiliza.
 
Swala la mtu kuwa mchumi ni swala binafsi, halina asili ya mtu. Baba yangu ni mbongo kama mimi lakini huwezi kula hata shilingi 100 yake kizembe.

Kuhusu story na crown wala visikupe shak Mkuu. Mzungu anaendesha hadi Caravan Hiace hasa hawa wanaokuja kwa muda na kuondoka mara nyingi huendesha magari ya kukodisha kwa muda tu. Kwahiyo hii ni simulizi ya kweli kabisa na niliishuhudia kwa macho yangu. Thanks
Ulijiridhisha kuwa hakuwa mmatumbi aliyepaka cha congo ❓❔🤣🤣🤣🤣 maana umeelezwa kuwa mzungu hawezi kokota sedan bali SUV
 
Nadhani kuna mahali hukunielewa, ishu sio kiasi cha pesa alicholipa Mzungu. Ishu ni thamani, yaani Mzungu alionyesha kuthamini kazi ya dogo tofauti na sisi wabongo. Si unaona hata wewe hapo, tayari umeshaona kazi ya dogo ya kufuta vioo vya magari ni kupoteza muda. Lakini swali ni je, ulaya watu na nchi zilizoendelea hakuna watu wanaofanya kazi za aina hiho?

Nchi za wenzetu kuna wafu wanafanya hadi kazi za kulea wazee na zina mishahara mikubwa sana.
Kuna mwanamke attention yake ni pesa
Appreciation kama ni hiyo pesa basi kuna two sides kwenye coin. Kampa kwa sababu ya appreciation au kampa kwa sababu hakua na chenji
 
Nisiwe mnafki mie hapana. Wacha nionekane nina roho mbaya. Ila watu wa njiani mazoea sitaki.
 
Back
Top Bottom