Recent content by stieve

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba tofauti kati Degree hii kwa UDSM na UDOM

    Hello kwa yoyote mwenye uelewa na hii koz ya MSC in cyber security and digital forensic Naomba kujua kwa mtu anaetaka Kuisoma labda vigezo vyake vikoje pia na soko la ajira likoje
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza kwa umakini Ester Bulaya kisha John Heche, wanasikitisha sana na wanahitaji huruma

    Hii habari haina ukweli wowote ule mimi ni mkazi wa hapa bunda nashangaa unayoyasema cha msingi uchaguzi uwe huru na haki
  3. S

    JamiiForums Tanzania Pikipiki aina SANLG yaibiwa Bunda mjini

    Chief kama hukuripoti polisi plz nenda karipoti itasaidia sana
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kununua Subaru Impreza, nini changamoto zake?

    Mkuu unanishawishi pia ninatumia premio ila nataka nibadili to mentioned one.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa gari aina ya Premio naombeni ufafanuzi

    Kiukweli mimi ndo gari ninayotumia kwa sasa kwa miaka mitatu sasa sijawahi kuona shida yoyote tofauti kumwaga oil au filter na hata spare zake zinapatikana kwa urahisi. 1790cc
  6. S

    JamiiForums Tanzania RPC Shana umekoswakoswa ya dhahabu Mwanza na umekoswa mgogoro wa Arusha; hii ya kujipendekeza CCM kupitiliza itakuletea shida. Linda maadili

    Naona kwa maelekezo ya mh Rais kasema Rpc na takukuru mbona kama umeegemea upende mmoja kwa polisi tu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Bakari Msulwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro na Edward Balele Wilaya ya Monduli

    Mwenye hiyo cv ya JOHN BALELE ACP tafadhali
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye wasifu wa Kulwa Biteko

    Kwani kwa sasa hivi biteko ni mbunge wa wapi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuwapata wataalamu wa Cyber Crime

    Nitafute kwa namba yangu 0713960000 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Kujua unakoenda sio vibaya
  11. S

    JamiiForums Tanzania MSAADA KWA ANAYEFAHAMU CHUO CHA USTAWI WA JAMII BUHARE COMMUNITY DEV INSTITUTE KILICHOPO NUSIMA MKOANI TARIME NAOMBA ANIJUZE

    Sio ustawi wa jamii buhare bali ni maendeleo ya jamii buhare musoma yaani community development buhare musoma na hata hivo ingia website yao usiwe mvivu ndg kila kitu kiko online
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Na hawa jeshi la polisi viwango vyao vya scale ya mshahara vikoje msaada tafadhali
  13. S

    JamiiForums Tanzania Recategorization

    Kwani huko pccb wanatakiwa waliosomea nn ndg
  14. S

    JamiiForums Tanzania Recategorization

    Imebedi tu micheke aise koz hayo ni mawazo yako
  15. S

    JamiiForums Tanzania Recategorization

    Ndugu wadau Ningependa kufahamishwa juu ya hili jambo linalohusu recateglrization kwamba kuna ndugu yangu ni Askari Polisi na ana degree ya Maendeleo ya Jamii akiwa na GPA 3.5 amefanya kazi kwa muda wa miaka mitano sasa lakini anataka kubadilisha aina ya kazi kutoka Polisi kwenda PCCB Je...
Back
Top Bottom