Doto Yuko Bukombe and he is doing goodKwani kwa sasa hivi biteko ni mbunge wa wapi
Identical twins,Ooooooooh my ovaries. Thank you God in advance.Wadau niende kwenye mada. Naomba nisaidiwe kujua CV ya Kulwa Biteko ili nimfahamu vizuri huyu mbunge wangu wa Busanda ajae kwa kasi
View attachment 1482725
Dotto na Kulwa Biteko
Haha haha your ovariesIdentical twins,Ooooooooh my ovaries. Thank you God in advance.
Hongera sana kwa mapacha hata kama ni wasio fanana, huwa natamani sana aisee!Identical twins,Ooooooooh my ovaries. Thank you God in advance.
Sasa hao wote wamepata kura za kuongoza katika kura maoni kwa majimbo ya Busanda na Bukombe daah mapacha hawa bwana!! Hayaa safari njema Kulwa, Dotto amefanya kazi yake!!Waziri ni Doto hapa tunamzungumzia Kulwa
Wasukuma walifanya nchi ya bibi Yao hii maskiniMh wapwa tena!! Sie tunataka mbunge mwenye kujenga hoja mkuu. Bukwimba licha ya kuwa na madiwani wengi toka Busanda katka Geita council alizidiwa kete na Msukuma hospital ya wilaya ikajengwa nzera. Tunamshukuru JPM katuonea huruma na sie katupa hospital yenye hadhi ya wilaya. We need Biteko perhaps can do something