Naomba tofauti kati Degree hii kwa UDSM na UDOM

Walimu wa UDOM wote wamesomea UDSM, Walimu wako wote wamesomea UDSM, walimu wa walimu wako wamesomea UDSM, walimu wa wazazi wako nao wamesomea UDSM, viongozi wote wa serikali wamesomea UDSM, UDSM huwezi kuilinganisha na UDOM, UDSM inajulikana dunia nzima
Kama UDOM ni mbovu kamawafikiriavyo humu hii inamaana gani kwa UDSM kutokana na mchango wako hapa
 
Yaani chuo kimezaliwa miaka ya 2000s unakilinganisha na chuo cha mkoloni. Ni sawa nakulinganisha shule za Tabora boys, MZUMBE, Kibaha, na shule za kataa.
Hiii we jamaa unamambo ya ajabu nimemaliza kisimiri shule inayoongoza top 10 advance kila mwaka na ni mpya imeanza 2006 na ni ya serikali use logic .... it's all about knowledge inayotolewa apo na cio ukongwe jangwan mbn ilikua ya mwishooooo ni kongwe Aya pugu boys tufaulu l ikoje Sasa use logic again afu kurudisha mambo ya high school
 
Habarini.

Naombeni mnipe tofauti ya Degree ya Bsc in COMPUTER SCIENCE inayofundishwa Udsm na UDOM.

Kwa ubora wa Graduates bado mwanafunzi mwenyewe anatakiwa afanye kazi ya ziada ili awe bora,wengi wanatoka chuo weupe haswa kwenye programming
kwa kuangalia prospectus na experience ya walimu basi UDSM ipo ahead ya UDOM kwa maoni yangu
 
Vijana wa vyuo mnachekesha sana, yani course ya aina moja au inauliza ina tofauti gani.?
Elimu ya chuo kikuu ni universal. muacheni mambo ya kitoto nyie vijana.
 
Fanya utafiti kwanza. Si UDSM wala UDOM muhimu ni mwanafunzi una mentality gani. Kuna vilaza wingi tunao mtaani toka UDSM hawajui hata mising ya coding na wamesoma Computer Science

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unapoteza mda wako kubishana na hivi vitoto vya chuo.
They know nothing abt real life situation after University, wamekalia kupigiana kelele mara UDSM sijui UDOM na takataka zingine.
Achana nao tu mkuu hao vijana hawajielewi watakuchosha tu kuwajibu.
 
Walimu wa UDOM wote wamesomea UDSM, Walimu wako wote wamesomea UDSM, walimu wa walimu wako wamesomea UDSM, walimu wa wazazi wako nao wamesomea UDSM, viongozi wote wa serikali wamesomea UDSM, UDSM huwezi kuilinganisha na UDOM, UDSM inajulikana dunia nzima
UDSM = Jalalani

By Prof Kabudi.
 
Hiii we jamaa unamambo ya ajabu nimemaliza kisimiri shule inayoongoza top 10 advance kila mwaka na ni mpya imeanza 2006 na ni ya serikali use logic .... it's all about knowledge inayotolewa apo na cio ukongwe jangwan mbn ilikua ya mwishooooo ni kongwe Aya pugu boys tufaulu l ikoje Sasa use logic again afu kurudisha mambo ya high school

Genius
 
Watanzania tujipepole wenyewe tunaumaskini wa kufikiri sana ,eti vyuo Bora huku mtaani hatuoni hayo matokeo ya hivyo vyuo tunawashangaa mnajiita wasomi yaani tunawashangaa ,sijui mnaelewaaaa
 
Nimesoma UD BSC(chemistry) nadhan kwa kozi yetu na kwa mwaka wetu tulikuwa bora sana ukitulinganisha na product ya udom department ya chemistry tumekutana nao field na makazini hawakuwa competent kihivyo ila nilikuwa na marafiki zangu CIVE(College of informatics and Virtual Education) pale UDOM ebhana hawa jamaa wanajua udsm tunasubir,,, kwny swala la informatic Udom wako vzur ni sawa na UDSM ilivyopoa kwny COET,CONAS(sijui kama bado ipo hv) na law ila kuna udbs sijui coaf hz college nyngne wanajua kugongana tu viuoni
 
Hello
kwa yoyote mwenye uelewa na hii koz ya MSC in cyber security and digital forensic
Naomba kujua kwa mtu anaetaka Kuisoma labda vigezo vyake vikoje pia na soko la ajira likoje
 
Watu wanaisifu sana UDSM kwamba ni chuo bora wakati ni chuo ambacho kimezalisha graduate wa PhD ambaye hata kuongea kiingereza ni majanga wakati huohuo watu wenye UMBILIKIMO wa mawazo wanakisifia kila kukicha
kwani udsm siku hizi wanatoa PHD ya kuongea kiingereza?
 
Eti vipanga!

Bado sana ninyi watanzania kwenye maswala ya elimu!

Vyuo vyote Tanzania vinalingana ubora wala havina tofauti yoyote isipokuwa majengo tu!

Walimu ni wale wale, wanafunzi ni wale wale na mitaala ni ile ile!
Asante sana mkuu kwa wazo lako. What is UDSM and UDOM in the labour market ? What is UDSM

and UDOM in the information technology industry ?

Vyuo havisomi guys. Unaesoma ni wewe mwanafunzi. You are supposed to be the difference in the

market and in an industry in particular.

Anyway, elimu yetu ya chuo kikuu bado ni utopolo sana
 
Back
Top Bottom