Recent content by steveson manumbu

  1. steveson manumbu

    Nafasi tatu za kazi ya ualimu wa kufundisha ubunifu na ushonaji Sinza Mapambano

    VKVT COLLEGE NAFASI TATU ZA KAZI YA UALIMU WA KUFUNDISHA UBUNIFU NA USHONAJI SINZA MAPAMBANO - DAR ES SALAAM SIFA ZA MUOMBAJI: . Awe na cheti au stashahada ya sanaa ya ufunzi katika ushonaji kutoka VETA kwa level ya NIT . Awe mbunifu katika ufundishaji . Awe na uzoefu si chini ya miezi sita ...
  2. steveson manumbu

    Soko la Embe kwa hapa Dar.

    nenda kiwanda cha AZAM , Ukapate maelezo mazuri na uhakika wa soko kubwa mkuu
  3. steveson manumbu

    Vijana tuamke na tuelimike

    "Natafuta kazi, Nina shada ya udhamili ya Kilimo" Tunasoma kutafuta CV za kusomewa kwenye misiba yetu au za kukabiliana na mazingira yetu, Kijana tambua uwezo wako wa ndani kwanza ndipo ukauongezee elimu, sio kusoma na kuwa na vyeti na shahada nyingi zisizo kusaidia. Tusisome kwa mkumbo
  4. steveson manumbu

    Become a Delegate for 2017 8th G(irls)20 Summit in Germany!

    Deadline: 8 December 2016 Applications are invited for the 2017 8th Annual G(irls)20 Summit to be held in Germany next June with an aim to bring together one delegate from each G20 country, plus a representative from the European and African Unions, Afghanistan, Pakistan and the MENA region...
  5. steveson manumbu

    IWMF Tanzania and Rwanda Reporting Fellowships: Inviting Women Journalists across the World

    Deadline: 6 December 2016 International Women’s Media Foundation (IWMF) is seeking applications from women journalists from all over the world for its reporting trip to Tanzania and Rwanda from February 17 – 28, 2017. Both groups of reporting Fellows will begin their trip in Nairobi, Kenya...
  6. steveson manumbu

    2017 Program on Humanitarian Leadership: Strengthening Leadership Skills

    Deadline: 19 December 2016 Applications are open for the 2017 Program on Humanitarian Leadership (PHL), a rigorous, innovative blended learning leadership training program for humanitarian professionals. The In-Person Leadership Training Course will be held May 1-5, 2017 in Nairobi, Kenya. The...
  7. steveson manumbu

    Nafasi ya kazi saluni ya kiume

    Natafuta dada wa kufanya nae kazi katika saluni yangu ya kiume. Vigezo. we mwaminifu. Aipende kazi Mvumilivu Mwenye jitihada na kujituma Itakuwa vizuri akiwa anatokea maeneo ya tabata Malipo Atapata pesa ya usafiri na kula pamoja na mshahara Mawasiliano 0719130138 Asanteni na karibuni
  8. steveson manumbu

    Information is key and power Invest in learning

    You have more changes of making it Brother himself has return after exploring in AMERICA , ASIA , DUDAI, SOUTH AFRICA we have come up with a good and big project platform sponsored by ENREDO and Elly David Company. If you don't know something it doesn't mean its not out there come and join with...
  9. steveson manumbu

    Information is key and power of Development

    You have more changes of making it Brother himself has return after exploring in AMERICA , ASIA , DUDAI, SOUTH AFRICA we have come up with a good and big project platform sponsored by ENREDO and Elly David Company. If you don't know something it doesn't mean its not out there come and join with...
  10. steveson manumbu

    Mambo yanayoweza kubadili maisha yako kama kijana

    MASWALI MATANO (5) YAKUJIULZA AMBAYO YANAWEZA KUBADILISHA MAISHA YAKO 1. Mimi ni nani? 2. Nimetokea wapi? 3. Naelekea wapi? 4. Nimefika wapi? 5. Natakiwa nifanye nini? Safari ya maisha kuelekea Mafanikio ama chochote kile unachokiitaji, huanzia katika kujitambua. *MAMBO MATATU MUHIMU...
  11. steveson manumbu

    Nafasi za kazi Air Tanzania

    Changamkia mkuu
  12. steveson manumbu

    KNOW DIGITAL INFLUENCE

    1.) *GOOGLE* - Global Organization Of Oriented Group Language Of Earth. 2.) *YAHOO* - Yet Another Hierarchical Officious Oracle. 3.) *WINDOW* - Wide Interactive Network Development for Office work Solution. 4.) *COMPUTER* - Common Oriented Machine Particularly United and used under Technical and...
  13. steveson manumbu

    MAMBO YA KUFANYA HASA KWA VIONGOZI ILI TAIFA LINANIKIWE

    Matokeo ya tafiti yanaonesha kuwa Tanzania ina kiwango cha chini cha ujasiriamali, suala linasababishwa na Taifa kuwa na ukuaji mdogo wa uchumi unaotegemea zaidi uwekezaji wa mataifa ya nje yenye viwango vikubwa vya ujasiriamali, licha ya kuwa na rasilimali lukuki, endapo tukitumia vizuri...
  14. steveson manumbu

    Tatizo la vijana kutokufanikiwa

    Mchambuzi na mwelimishaji wa mambo ya vijana kutoka ENREDO . Tatizo letu Vijana tumekuwa ni watu wenye kusubiri kitu kikubwa kitokee ndipo tuchukue hatua jambo ambalo ni kinyume na kanuni za mafanikio. Jambo la msingi kwako kijana tambua kuwa tabia ya kudharau au kushindwa kuanza na jambo dogo...
  15. steveson manumbu

    Hamasa na elimu kwa vijana

    TIMU YA SAFARI TV SHOW. Safari Tv Show kuptia TV 1 siku ya jumatatu saa 12:00 Jioni, marudio Jumanne saa 6:00 Mchana na alhamisi saa 6:00 Mchana. Tumeamua Kuzunguka nchi nzima na kuonesha kazi za viajana mbalimbali nchini ili kutoa hamasa kwa vijana wengi. kwani Vijana wengi wanashindwa kuanza...
Back
Top Bottom