MAMBO YA KUFANYA HASA KWA VIONGOZI ILI TAIFA LINANIKIWE

MAMBO YA KUFANYA HASA KWA VIONGOZI ILI TAIFA LINANIKIWE

steveson manumbu

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
887
Reaction score
178
Matokeo ya tafiti yanaonesha kuwa Tanzania ina kiwango cha chini cha ujasiriamali, suala linasababishwa na Taifa kuwa na ukuaji mdogo wa uchumi unaotegemea zaidi uwekezaji wa mataifa ya nje yenye viwango vikubwa vya ujasiriamali, licha ya kuwa na rasilimali lukuki, endapo tukitumia vizuri rasilimali hizo Tanzania ni EDEN ya AFRICA.
Changamoto ipo katika uwezo wa watu (sisi watanzania) serikali na viongozi wetu kubadilisha rasilimali hizo kwa ufanisi ili ziwe bidhaa na huduma zitakazopelekwa sokoni kwa ushindani sababu zinazopelekea kutokea kwa chanagamoto hizo ukosefu wa wajasiriamali katika ngazi tofauti tofauti , mitazamo ya desturi, mila na malezi ya kuwalea vijana wetu katika mfumo wa kiutegemezi na kimayaiyai , watendaji na viongozi kukosa ubunifu, siasa ya kuingilia utaalamu, sababu nyingine ni mfumo wa elimu ambao huzalisha watu wanaotegemea ajira huku walimu nao wakiwa wengi wao hawana uwezo wa kuwafundisha watoto ujasiriamali kwani nao hawajajengwa katika utamaduni huo, hivyo vijana, srikali na viongozi tunahitaji kutafakari juu ya hilo kivitendo na kuweka ujasiriamali kama kipaumbele cha taifa na kuwapa vijana fursa ya kufikia malengo yao pia vijana tujenge tabia ya kujifunza kila siku..
 
Back
Top Bottom