steveson manumbu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 887
- 178
TIMU YA SAFARI TV SHOW.
Safari Tv Show kuptia TV 1 siku ya jumatatu saa 12:00 Jioni, marudio Jumanne saa 6:00 Mchana na alhamisi saa 6:00 Mchana. Tumeamua Kuzunguka nchi nzima na kuonesha kazi za viajana mbalimbali nchini ili kutoa hamasa kwa vijana wengi.
kwani Vijana wengi wanashindwa kuanza kufanya jambo kutokana na kukosa hamasa. Na wengi wanashindwa kuendelea kufanya kile walichokuwa wakikifanya kutokana na kukosa hamasa. Hamasa ya mara kwa mara ndiyo itakayotufanya tufanikishe malengo yetu, na bila kuwepo kwa hamasa lengo halitoweza kutimia.
Hamasa ndiyo itakayotufanya tusonge mbele , na tabia ndiyo itakayotufikisha kule tunapokwenda. Kwa hiyo, tukiifanya hamasa kuwa tabia tutaweza kwenda popote kule tunapotaka, na tutakuwa na furaha safarini.
Hamasa ina ushawishi mkubwa sana katika maisha yetu, sababu mara nyingi hamasa ndiyo inayosababisha kufanyika kwa maamuzi. Na maamuzi hayo huwa yanaanzia na hisia. Na maamuzi hayo ndiyo ufanya kuwepo kwa vitendo, na vitendo hivyo vinazaa matokeo. Na matendo yakirudiwa kufanywa mara kwa mara husababisha mabadiliko ya tabia. Tuwe makini na matendo yetu.
hivyo kwa vijana wowote ambao wanakazi nzuri ambayo wanaamini inaweza kuwa sehemu ya elimu kwa vijana wengine lakini kuonesha kazi zako. please in box me.
Mchambuzi na mwelimishaji maswala ya vijana Kutoka ENREDO.