steveson manumbu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 887
- 178
"Natafuta kazi, Nina shada ya udhamili ya Kilimo"
Tunasoma kutafuta CV za kusomewa kwenye misiba yetu au za kukabiliana na mazingira yetu, Kijana tambua uwezo wako wa ndani kwanza ndipo ukauongezee elimu, sio kusoma na kuwa na vyeti na shahada nyingi zisizo kusaidia.
Tusisome kwa mkumbo