Nafasi ya kazi saluni ya kiume

Nafasi ya kazi saluni ya kiume

steveson manumbu

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
887
Reaction score
178
Natafuta dada wa kufanya nae kazi katika saluni yangu ya kiume.
Vigezo.
we mwaminifu.
Aipende kazi
Mvumilivu
Mwenye jitihada na kujituma
Itakuwa vizuri akiwa anatokea maeneo ya tabata
Malipo
Atapata pesa ya usafiri na kula
pamoja na mshahara
Mawasiliano
0719130138
Asanteni na karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom