Kusanya ila yasiwe mabichi.
Magufuli akikukamata utayale yote mwenyewe.Mabichi yataleta athari gani?
Alizuia uingizaji wa maembe mabichi toka mikoaniHahahahaha.... We rijamaaa... Asante Mkuu kwa kuni'alert. Ntazingatia
Pale kuna mchezo unafanyika. Wakulima wanatoka na malori ya maembe toka mikoani e.g tabora etc wakifika pale no entry! wanakumbana na madalali ambao huwa mara nyingi wasubirisha kwa makusudi siku kadhaa kwa kigezo ndani kuna foleni hadi yanaiva na kukaribia kuharibika. then wanayanunua kwa bei ya kutupa. Hapa kazi tu pita kule tafadhali ujionee mkulima anavyonyanyaswa.Mpelekee barhresa
Aisee niliona kitunkama hicho nilikuta trucks kadhaa zinamwaga tu maji maji kuonyesha dalili kama ya kuharibika na jinsi jua lilivyokuwa kali basi hali haikuwa nzuri kabisa na ndani ya kiwanda sikuona hiyo dalili ya foleni.Pale kuna mchezo unafanyika. Wakulima wanatoka na malori ya maembe toka mikoani e.g tabora etc wakifika pale no entry! wanakumbana na madalali ambao huwa mara nyingi wasubirisha kwa makusudi siku kadhaa kwa kigezo ndani kuna foleni hadi yanaiva na kukaribia kuharibika. then wanayanunua kwa bei ya kutupa. Hapa kazi tu pita kule tafadhali ujionee mkulima anavyonyanyaswa.
Habari wakuu,
Nilikuwa nahitaji nianze biashara ya kukusanya Embe msimu huu maeneo ya Pwani humu na kuziuza.
Naulizia kuhusu soko likoje?
Nauza kwa jumla sio rejareja.
Range ya mzigo nnaotegemea kuanza nazo ni 500 hadi 1000.
Mchango wa mawazo wakuu.
Wasimamizi wa pale wako wapi mpaka wanakaribisha madalali milangoni dhambi hii wahusika wataibebaPale kuna mchezo unafanyika. Wakulima wanatoka na malori ya maembe toka mikoani e.g tabora etc wakifika pale no entry! wanakumbana na madalali ambao huwa mara nyingi wasubirisha kwa makusudi siku kadhaa kwa kigezo ndani kuna foleni hadi yanaiva na kukaribia kuharibika. then wanayanunua kwa bei ya kutupa. Hapa kazi tu pita kule tafadhali ujionee mkulima anavyonyanyaswa.
Biashara ya kuoza inafika wakati unakuwa mpoleAisee niliona kitunkama hicho nilikuta trucks kadhaa zinamwaga tu maji maji kuonyesha dalili kama ya kuharibika na jinsi jua lilivyokuwa kali basi hali haikuwa nzuri kabisa na ndani ya kiwanda sikuona hiyo dalili ya foleni.
Inahuzunisha sana aisee.
Maembe tayari unayo na nipe bei yako kama bei ni nzuri mm nitayachukua nahitaji maembe hadi tani 5 ...kilo 5000 za maembe nahitaji na niambie maembe ya aina ulionayo ahsantwHabari wakuu,
Nilikuwa nahitaji nianze biashara ya kukusanya Embe msimu huu maeneo ya Pwani humu na kuziuza.
Naulizia kuhusu soko likoje?
Nauza kwa jumla sio rejareja.
Range ya mzigo nnaotegemea kuanza nazo ni 500 hadi 1000.
Mchango wa mawazo wakuu.