Recent content by stevepaul

  1. S

    JamiiForums Tanzania Faragha (Privacy) za Wateja wa Simu za Mkopo

    Ila wanavunja privacy za wateja wao
  2. S

    JamiiForums Tanzania Faragha (Privacy) za Wateja wa Simu za Mkopo

    Nimeamua kuziba camera na tape.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Faragha (Privacy) za Wateja wa Simu za Mkopo

    Haitumiki muda wote. Kila baada ya dakika kadhaa inatuma notification ya kijani yenye alama ya camera kwa sekunde chache kisha notification hiyo inazima. Ni kama vile inatuma picha chap inazima.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Faragha (Privacy) za Wateja wa Simu za Mkopo

    Wakuu Habarini za Siku ya Leo? Natumaini mu wazima wa Afya. Na wale wagonjwa nawaombea uponaji wa mapema ili waendelee na majukumu yao ya kila siku. Niende kwenye hoja. Mimi sikuwa mdau wa kukopa kopa simu ila, baada ya kuwa na kazi kadhaa zinazotumia charge ya simu kwa kasi na kumaliza charge...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wakuu kwa yeyote aliewahi kuuziwa CD na muimbaji huyu , kama inawezekana nitashukuru nikiipata copy yake maana ninaitafuta muda mrefu sana mtandaoni siipati. Wimbo pekee unaopatikana youtube ni mmoja tu unaoitwa NIMESIKIA HABARI. Zingine zote hazipatikani. Nipo tayari kwa kulipa gharama ikibidi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nimeweka Engine Oil 20w-50 X-trail NT30 (2003) nipo sawa?

    Unaposema old cars ni kuanzia mwaka gani mkuu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kuzika marehemu kwenye makaburi ni sawa? Asili inasemaje?

    Hata cement ni huohuo udongo. Kwahiyo hakuna kilichokwepwa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nimemtumia nauli, akiwa njiani anakuja kadakwa na wengine.

    Kwa msaada wa AI
  9. S

    JamiiForums Tanzania Zantel na Zain wapunguza gharama za internet

    Watu mnatumia GB 1 mwezi mzima na hamsemi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi 1 ya JMT, Zanzibar Kujiita Nchi, Sio Uhaini?. Zanzibar Iadabishwe Kuondoa Ubatili wa Katiba Yake ili Tuitambue au Tumchelee Mwana Kulia?

    Ili kuisoma hii makala yako pale mwananchi lazima ulipie kwanza. Lakini umeileta jf isomwe bure. Haitakuletea conflict na mwananchi?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hawa Yas wanaiba pesa za watu kisingizio wasema wapo kwenye urekebishaji

    Umeibiwa vipi ndugu. Tusimulie kwa faida ya wengi ili tuchukue tahadhari.
  12. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwanza: Nane mbaroni kwa kukimbia na kura za mwenyekiti

    Nimesikia amesema kura zimebebwa na hao vijana saa kumi na mbili asubuhi. Pia nimesikia kura zinaanza kupigwa saa mbili asubuhi. Sijaelewa . Naomba alieelewa anieleweshe tafadhali.
Back
Top Bottom