Nimeweka Engine Oil 20w-50 X-trail NT30 (2003) nipo sawa?

Nimeweka Engine Oil 20w-50 X-trail NT30 (2003) nipo sawa?

Mdau mimi ninamiliki ma nissan mwaka wa 10; kwenye oil achana na majaribio na mapicha picha tupia castrol hiyo 20w 50 (for old cars) zamani ilikua equivalent to Bp standard, ama Atlantic synthetic wachana na majaribio nissan inataka adabu, hizo oil zingine wacha watu wa Brand za wereva waweke
Unaposema old cars ni kuanzia mwaka gani mkuu
 
Hata alivyonunua hiyo kapata ushauri. So anajaribu kupata maelezo mengine, maana hizi oil zipo nyingi sana na mbaya zaidi zile zikizoandikwa kwenye Vitabu vya gari hazipo huku kwetu ndio maana mada za oil haziishi.

Mfano mm gari yangu inatakiwa oil 0W20 lakini Nchi nzima hii hakuna unahangaika na mafundi wakutajie Equivalent yake Mara uambiwe ni 5W30 mara 20W50 mambo ni mengi
5w-30 ndio mbadala or close relative wa 0W-20, 20w-50 ni heavy kwa aina ya gari yako and maybe kama inatumia diesel
 
Back
Top Bottom