The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,164
- 121,687
Ukitaka kuthibitisha hilo,Mi nilizaliwa hayo ya udongo yanabaki kuwa nadharia hayana uthibitisho.
Fukua kaburi la mtu aliyezikwa miaka mingi sana,utakutana na udongo tu,
Kila kitu hurudi kwenye nature ya asili yake,
Hata Chuma huliwa na kutu na kuirudia nature yake na kua udongo tena.