We jamaa mgumu sana kuelewa masuala mepesi kama hili...
Ngoja nituelimishe kidogo sana..hii tafiti inafanyika kwa vitabu vilivyonunuliwa kwenye library,online .sio kusomwa wakat wa ibada.
Ndio uwelewa wake,ata ukiangalia reference aliotumia hapo magari,music,movie, nguo na nk.kiukwel ndio vitu vizur dunian ila sbb ni vya wazungu yy anasema wanajipendelea.
Huyo sasa ukimuambia ukristo ndio dini yenye waumini wengi atakataa alafu atakuambia sababu imeletwa na wazungu.
Kwani hii kazi ya udalali ni alali kisheri?
Na pia nadhani wakulia tuanzishe umoja wetu tukapeleke malalamiko yetu kwa wakurugenzi wa halmashauri husika ambapo kuna masoko.
Habari wadau
Mimi ni mkulima mchanga( nikimaanisha ndio naanza hizi shughuli za Kilimo) sasa tangia nimeanza tatizo kubwa ambalo nalisikia ni kuhusu soko la bidhaa zetu.
Ndugu zangu mimi nina swali kwa wakulima wa muda mrefu na wazoefu, kama soko la ndani kuna misimu tunalizidi uwezo...
Hizo bei mbei na idadi ya movuno mbona inakinzana?niliulizia watu wanao kaasehemu zinazo limwa kitungu kama mwanga kileo wanasema heka moja inatoa gunia 80 mpaka 120 kama shamba litaudumiwa vizuri na bei ni laki 1 kama soko ni baya..kwa maelezo pitieni YOUTUBE search kilimo cha umwagiliaji cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.