Vitabu kumi bora vilivyonunuliwa na kusomwa zaidi duniani, umesoma vingapi kati ya hivyo?

Ethos

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
2,294
2,057
23652d31c269e3b6906d5e7275a03046.jpg

Binafsi nimesoma

1.The Davinci Code

2.The Alchemist

3. Bible-Zijamaliza

Mwenye soft Copy ya hivo vilivobaki na umevisoma share hapa please

Sincerely,

Ethos.
 
Thanks mkuu ngoja niicheki
Hiyo ni list ya mzungu! Kumbuka chochote kilicho bora kwa mzungu ndicho kitakachoitwa Bora duniani! Ndiyo maana Hata world chat ya music imejaa American/european music tu,vazi bora duniani ni lazima litokee hukohuko!hata list ya magari bora duniani lazima ianze na hayo ma Roll Royce,Bentley,porsche,Ford,nk kisha ndiyo zifuate hizi za kijapani,kihindi,kichina,kikorea nk!! Hii ni technic ya kibiashara,ukishaaminishwa kuwa hiki ndiyo bora,na ukaamini hivyo,unauziwa hicho huku ukiamini kuwa umenunua kilicho bora!! Apart from that usingeikosa Qur'an tukufu hapo,ila kwa kuwa Qur'an siyo bora kwa mzungu hawezi kuihesabu kuwa bora duniani.
 
Dooh! Mao ni wa wapi? Quaran inauzwa wapi?
 
Kitabu kilichokosekana kuna uwezekano kweli au hakipo katika hyo list au kipo ktk chat za chini baada ya hivi. Bible ni kweli coz ipo ktk kila lugha mpaka makabila... Hvyo vingine hapo vipo katika lugha inayoxungumzwa na karibu kila taifa yaani kiingereza, sasa hiko kingine kisichokuwepo ktk orodha hyo kuna uwezrkano wakusomwa na watu wachache sana tena ni wale waliofundishwa kukisoma. Laiti kingekuwa katika lugha pendwa duniani au katika kila lugha ya mtu naimani kingechuana na Bible Takatifu.....
 
23652d31c269e3b6906d5e7275a03046.jpg

Binafsi nimesoma

1.The Davinci Code

2.The Alchemist

3. Bible-Zijamaliza

Mwenye soft Copy ya hivo vilivobaki na umevisoma share hapa please

Sincerely,

Ethos.

Nimesoma, The Davinci Code na movie yake nimeiona. Lord of the rings, bible, Harry Potter, Gone by the wind na Think and Grow Rich. Kati ya hivyo, "my" best book ever is THINK AND GROW RICH by Napoleon Hill. cc Kiranga
 
Kitabu kilichokosekana kuna uwezekano kweli au hakipo katika hyo list au kipo ktk chat za chini baada ya hivi. Bible ni kweli coz ipo ktk kila lugha mpaka makabila... Hvyo vingine hapo vipo katika lugha inayoxungumzwa na karibu kila taifa yaani kiingereza, sasa hiko kingine kisichokuwepo ktk orodha hyo kuna uwezrkano wakusomwa na watu wachache sana tena ni wale waliofundishwa kukisoma. Laiti kingekuwa katika lugha pendwa duniani au katika kila lugha ya mtu naimani kingechuana na Bible Takatifu.....
Umewaza vyema. Naamini ndugu zangu hawataichulia vibaya list hiyo...
 
Back
Top Bottom