Wakulima Kilimanjaro/Arusha...

Wakulima Kilimanjaro/Arusha...

Namimi pia niunge please nipo arusha nalima matikiti maji
 
Wakulima wote kimanjaro &Arusha mni pm ni admin, tunalo group dogo limetokana na group kubwa la wakulima aliloanzisha seth wa insta Ali maarufu kama bikira wa kisukuma
khaaa kumbe mlituacha mkajitenga ,haya niadd namie kwa seth kumedoda
 
Habari wana JF. Huu uzi uliishia wapi?.. hilo group la kilimo lipo?

Nimehamia Kilimanjaro nna mwezi wa 2 sasa nataka niangalie fursa za kilimo, naomba mniadd pia 0767102893
 
Back
Top Bottom