Shtuka mtoto wa kike

Shtuka mtoto wa kike

Mbona zali ana watoto watatu na kapata bwana maarufu na mwenye pesa

Usiwakatishe tamaa dada zetu.. Mungu anakuona ndoa inafanyika hata katika umri wa miaka 40

Dada zangu fanyeni kutu roho yenu inapenda.... Mkumbuke anaeamua ndoa ifanyike mwanaume sasa kama kakudanganya atakuoaa akakupa mimba harafu asikue kosa la nani

Akija mwingine akakupa mimba akasema atakuoa hajakuoa kosa sio lako

Ila jamii inasema kila mtu na baba ake

But kosa sio lenu dada zangu vijana wengi hasa wa dar es silaamu hawapendi kuoa wanakwepa majukumu na sisi wanaume wa mikoani twaonekana WASHAMBA ... Just jokes ila wanaume wa Dar kuna tatizo blv me
 
Mkuu sina niya ya kuwakatisha tamaa ila nawapa somo wajifunze kwa nn ubebe mimba mara 2 kabla hujaolewa wewe unafikiri Zari angekuwa kapuku Dai angeenda tatizo dada zetu hawa wanajiachia mno
 
Unakuta mwanamke analalanika eti wanaume wote ni sawa...nani kakwambie uwaonje wote? Utaishia kulea wanao kwa wazazi wako
 
Back
Top Bottom